Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Mlime chakula sasa na si bangi inayokupelekea hadi unaandika comments za ajabu kama hapo juu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlime chakula sasa na si bangi inayokupelekea hadi unaandika comments za ajabu kama hapo juu...
Tunataka areal view Kama hizi hapa za Kisumu [emoji1484][emoji1484][emoji1484]View attachment 1305099View attachment 1305101
Miji za Kenya hio ndio culture. Infact hizo "local" areas ndio high end estates zote huwa. Talk of Karen, Westlands, Runda, Nyali, Milimani etc...Duh aerial view sina kwa sasa...ila I'm sure ntaipata na nitaiweka....ila uelewe mwanza estates zipo zakutosha tu..
Halafu mbona mnawatesa watu kwa kuwapeleka eneo local namna hiyo...
Speak with reference bro, hatutumii mabavu humu
Fungua Uzi wa Eldoret na Iringa uone kama Eldoret itachomoka
It's evidence si reference Mr Kumamoto.Speak with reference bro, hatutumii mabavu humu
Ndio uwezo wako wa kufikiri unaishia hapo? 😰😇😇
Mzee baba tuna jichosha bure, tusubir after five years Mwanza ipambane na Kampala ndio levo yake, tuna sumbuliwa bure tu hapa
Wow...hiyo ya pili nzur sana
Haha kwan kuna shida gani hapo....weka reference tuone umetoa wapi data zako na sio kutukana watu...
Duh!!usiilinganishe mombasa na uchafu kabisa..tena komaunajifariji, but you know that Mwanza can be compared only with Mombasa out of Nairobi.
Mombasa yenyewe chafu....
Watanzania hamueleweki,mkiletewa aerial view mnasema tu zoom...siku hz eti mnataka aerial viewAchana nae huyu kakariri, city anayo iamini ni x 2 ndio unapata mwanza
HahahahahaFungua Uzi wa Eldoret na Iringa uone kama Eldoret itachomoka
Utawakimbiza ukiwaleta pande hzoTunataka areal view Kama hizi hapa za Kisumu [emoji1484][emoji1484][emoji1484]View attachment 1305099View attachment 1305101
Jamani, watu wanaishi wapi, au hapo cbd ndiko kumejaa appartments za watu kuishi
Sawa ila zijengeni hata sehemu yenye barabara nzuri....ikinyesha mvua si inaharibu access ya wafanyakazi kuingia mjini. .Miji za Kenya hio ndio culture. Infact hizo "local" areas ndio high end estates zote huwa. Talk of Karen, Westlands, Runda, Nyali, Milimani etc...