Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Siku mwanza wakifikia hapa uniambie..
Arusha is far ahead of mwanza in almost everything and everyone knows that
Hata hapa mnawakosea wakisumu kujilinganisha na mwanza atleast kisumu vs arusha could make sense
Mwanza mji mmoja local sana
As a Tanzanian i say mwanza mnatuaibisha sana watu wakiskia ni mji wa pili
Just to make this clear mwanza ni mji wa pili kwa watu wengi but in terms of development iko nyuma sana sana actually it's one of the poorest places in Tanzania😎

View attachment 1759045

View attachment 1759047
Wewe mlugaluga wa wapi? Japokuwa kiutalii Arusha ipo juu Kiuchumi kwa ujumla Mwanza ipo juu! Arusha na Kisumu ukichanganya hazifikii Mwanza usini-misquote tafadhali! Mining na fishing sectors za Mwanza hazina mpinzani!
 
🤣🤣 Fishing inachangia pato asilimia ngapi compared to utalii
Akili zenu za ziwan mnazijua wenyewe
 
🤣🤣 Fishing inachangia pato asilimia ngapi compared to utalii
Akili zenu za ziwan mnazijua wenyewe
dhahabu je? Bandari za ziwa Victoria? breweries mbili vs moja Arusha? several soft drinks plants in Arusha vs none in Arusha? Wacha ujinga mapato ya Victoria fillets yanajulikana!
The total harvest of Nile perch per year is estimated at one million tonnes and valued between $300 million and $500 million.
 
dhahabu je? Bandari za ziwa Victoria? breweries mbili vs moja Arusha? several soft drinks plants in Arusha vs none in Arusha?
Nlichogundua una shida ya exposure...unajua arusha ni ya 3 kwa viwanda vingi nyuma ya dar na pwani uku kuna viwanda hadi vya kuassemble magari...ulichonichekesha ni hapo kwamba arusha hamna soft drink plants🤣🤣
Na hiyo bandar ya ziwa victoria inachangia pato kiasi gani tulinganishe tu hata na uwanja wetu mdogo wa ndege arusha airport
Kwenye makusanyo ndo usiguse kabisa mkuu arusha alone inakusanya mapato sawa na mikoa yote ya kanda ya ziwa combined😎
Tuishi humu kwanza

Screenshot_20210421-110854.png
 
View attachment 1759084
kwa Mweanza pitia hapa ! Hivyo viwanda vya soft drinks Arusha ni vp hebu vitaje!

Tax revenue ya Mwanza ipo chini kwa vile revenue ya dhahabu inaenda serikali kuu moja kwa moja!
 
Yan wewe taarifa ya mwanasiasa unaiamini au wewe umeshasahau mliambiwa atcl inaingiza faida kwa miaka 5 mfululizo🤣
Lete data from trusted sources mkuu iwe tra, nbs au hata tamisemi usilete habari za magazeti
peleka upumbavu nimekuuliza viwanda vya soft drinks mbona hutaji?

Vya

Mwanza
 
Nivizuri umekubali ukweli,wewe ni mkenya wa kipekee sana.Sawa la infrastracture sijui unaongea kwa kuzingatia upande hupi?Ukweli ni kwamba soon Mwanzacity itaifikia Mombasa city hata kuipita kwa mambo yanayofanyika Mwanza sio mchezo,Njoo Mwanza uone sio kusimuliwa sio kila kitu kinapostiwa hapa,hicho unachoona ni manispaa mojay Nyamagana na kuna zingine za ilemela na Kisesa
Kuna nini cha ajabu kinafanyika kwenye Jiji maskini hilo?

Arusha ina viwanda na biashara nyingi sophisticated kuliko Mwanza

Arusha TRA wanakusanya mapato mengi kuliko Mwanza

Mapato ya ndani ya Mwanza na Manispaa zake ni karibu sawa na Arusha wakati ina watu lundo huku ikizidiwa kimapato na Dom

Kiufupi Mwanza ni Jiji la maskini
 
pia Dar ni kubwa shinda Nairobaa sawa tu na vile Kinshasa ni kubwa kushinda Johannesburg, Mumbai kwa New York lakini miundo mbiu na umaarufu hauwezi linganisha, ukubwa sio issue ila sophistication

kabla hauja linganisha mwanza na mombasa.. nakusihii utazame kwanza clip/video ya mombasa kwenye ukurasa 161
Ni ujinga kumjibu huyo kiazi,wewe kwa akili zako Mwanza kuna nini cha kulinganisha na Mombasa,hebu mpuuze.

Mombasa inachuana na Dar labda
 
Kuna nini cha ajabu kinafanyika kwenye Jiji maskini hilo?

Arusha ina viwanda na biashara nyingi sophisticated kuliko Mwanza

Arusha TRA wanakusanya mapato mengi kuliko Mwanza

Mapato ya ndani ya Mwanza na Manispaa zake ni karibu sawa na Arusha wakati ina watu lundo huku ikizidiwa kimapato na Dom

Kiufupi Mwanza ni Jiji la maskini
Najua we hutoki arusha ila nashkuru kwa kuwa mkweli 🤣🤣
Hawa watoto wa kanda pendwa walizoea data za kupikwa sana
 
Tatizo lenu ndugu zangu wakenya mnapenda kujifariji na kujimwambafy kwamba kila kitu kiko Kenya.Ila ukweli ni kwamba wakenya mnaaminishwa ujinga.Kuhusu Mwanza waulizeni waganda,warundi,wakongo,wanyarwanda na wasudani kusini watakwambia.Kumbuka mwanza ndo kituo cha madini east africa,mwanza ndo ina watu wengi baada ya Dar,Nairobi na kampala,Ndo kituo kikuu cha biashara baada ya Dar,kampala na Nairobi,Mwanza ndo jiji pekee lenye kiwanda cha kutengeneza Meli na vivuko east africa.Ila kumbuka watu hawakimbilii kwenye njaa watu uenda kunako neema.Wingi wa watu mwanza kunaashiria neema.Kisumu siazi yake ni Arusha city.
Arusha usiifananishe ni hivyo vijiji vyenu maskini na disorganized vya Mwanza na Kisumu na uwe na adabu kwa Arusha,,hakuna kitu Mwanza inaizidi Arusha ukiacha idadi ya maskini tuu
 
peleka upumbavu nimekuuliza viwanda vya soft drinks mbona hutaji?

Mwanza
🤣🤣 Mbona huyu ngosha kapanik
Kuna sehemu nliyokwambia arusha kuna plant ya soft drinks
Nlikushangaa kwamba ulidhani hiyo ndio ishara ya utajiri
Ukiongelea arusha unaongelea makao makuu ya eac unajua inawatumishi wangapi unajua hizo offices zinachangia vipi kwa local economy???
Tanzanite haisafirishi nje now soko lake duniani liko arusha...still unaongelea kiwanda cha sayona😎
 
Ni viwanda hivyo! haya breweries kuna TBL and Serengeti breweries! Arusha kuna TBL Breweries tu!
 
Mbona picha nyingi za Nairoberry? Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kulinganisha Mwanza na Kisumu. Kwa Mwanza, Kisumu ni kijiji siyo jiji wala mji kama tutakuwa wakweli na kuacha propaganda za kitapeli wanangu.
Ni aibu kwa Mwanza yaani hakuna kitu cha maana kwenye hiyo video zaidi ya vijumba na majengo ambayo yako hovyo kama dampo au kichaka, totally symbol of poverty

Unlike Kisumu video inaonesha mpangilio mzuri wa majengo,usafi na mandhari ya kuvutia ishara ya maendeleo na ustaarabu.

Mgeni akiangalia hizo video 2 ni wazi atavutiwa kuitembelea Kisumu na sio Mwanza.

Tzn ni wakati wa kujifunza maisha ya kistaarabu kuishi kwenye makazi decent na yenye mpangilio mzuri,miji iwe na miundombinu yenye hadhi ya kuwepo mjini na kuzingatia uwepo wa public gardens au parks Ili kutunza mazingira
 
🤣🤣 Idadi ya wanyonge wakufanya kazi sayona
Coca cola Nyanza Bottling?
Pepsico SBC plant Mwanza?
Sandvik Mining equipments Tanzania?
All International Mining Labs?
Gold refinery plants?

Ngoja niku-block maana unanipotezea muda!
 
Kwahiyo kwa akili yako Kisumu ina tourism na conference facilities za Arusha? Hata Mwanza haina! Wacha kuropoka!
Achana na mjinga huyo,sio tuu mambo ya tourism hata viwanda ,hivyo vijiji Maskini vya Mwanza na Kisumu haviwezi kusogeza pua kwa Arusha.

Nje ya Dar ni Arusha ndio vijiji vingine vinafuata

Kwa mfano mwambie akupe japo mapato ya TRA Kati ya Mwanza na Arusha
 
Back
Top Bottom