Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,419
- 6,484
😂😂😂 kwaiyo wachina wanakaa kwenye estate uko kwenye miji yao wanahela kuzidi wanerekani au wajerumani au waswidi ebu punguza mzigo kichwani mzeeMna hela ya kukaa kwenye hizo estate wabongo Na kama umesahau price ya kitu inapanda kutokana Na scarcity wenye hela ni wachache bongo ndo maana unapata ardhi kizembe zembe🤣
Usisahau Nairobi ni moja ya miji inayoongoza Kwa matajiri wengi Afrika
GDP ya Nairobi pekee inakaribiana Na ya Tz yote hii ni kama unajua hata GDP maana yake nn