Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Tuache kulia lia sasa wakuu. Hakuna njia ya amani itakayoleta mabadiliko, Kongo na mataifa mengine silah zipo, mapanga yapo, uwezekano upo mkubwa tu wa kukata migomba mmoja baada ya mwingine mpaka waseme po
Jue mtu asiitwe mwenye makosa kama kosa lake halijathibitishwa. Kesi ya Mbowe ni Kutuhumiwa tu, ni kama Sabaya. Wote hawa hawajatiwa hatiani. Tuache Mahamaka itafasri sheriaYou are prejudiced.
Mbowe hana kosa lolote until he's proven guilty with proof beyond reasonable doubt
Kesi za kubumbabumba hizo jiandaeni kuumbuka, na wanasheria wenu tunaowajua hao!!Sheria ifate mkondo wake, kama ni mkosaji ashughulikiwe
Sasa hivi naona "Mama anaubutua mwingi, hadi unatoka nje"Mama anaupiga mwingi
Inaweza hata isifike huko maana lengo lao ni kumnyanyasa tu na si kutafuta ukweli wa hizo tuhuma!Ngoja tusubiri itapofika huko mahakama kuu, ndio mlolongo wa mashitaka na kesi utakuwa wazi zaidi
Inaweza hata isifike huko maana lengo lao ni kumnyanyasa tu na si kutafuta ukweli wa hizo tuhuma!
Wale mliowaficha Guantanamo vipiInaweza hata isifike huko maana lengo lao ni kumnyanyasa tu na si kutafuta ukweli wa hizo tuhuma!
Ungejua nilipo usingeongea upuuzi wako huu, andamaneni abubakar aachiweHuyo jpm yuko wapi analiwa na funza,wewe unapata faida gani unadoea ugali kwa shemeji yako mwaka wa saba huu
Amueni tuwaone, kiongozi wenu yupo ndani siku ya 7 leo, mnapiga mayowe tu kwa id fakes, jitokezeni mstari wa mbele, CowardsHivi wewe kwa akili yako ya kawaida kuna jeshi lolote katika dunia hii liliwahi kushinda nguvu ya umma pale walipoamua kufanya yao?
Kama hiyo nchi ipo nitajie. Sema watu bado hawajaamua tu ila huwa inaanza watu wachache then wanaungana mwisho wa siku viongozi wakuu wanatoroka wakiwa wamevaa baibui tena wanaume...
Sasa kama mnajua uchumi uko hoi kwa nini mnaanzisha mamovement yenu ya kijinga ya kuwatoa watu kwenye njia ya kujenga uchumi? Si msubiri hii ishu ya covid iishe ndiyo muanze hayo madude yenu ya kuombea hela kwa jamaa zenu huko ulayaMama, mama…tunarudi kule tulipotoka! Uchumi uko hoi shauri ya Covid19, hii bado haitoshi? Tunataka “kubinywa” na mabeberu tena kua tunavuruga haki za binadamu? Kila la heri na kesi ya ugaidi, endeleeni kuchezea rasilimali za nchi!
Mhh mbona tuhuma nzito mno,huo ugaidi unahusiana na nini?japo Prosecutor angetufafanulia tumeachwa kwenye mabano ya taarifa.wamsweke ndani tu, na ugaidi hauna dhamana.
Na wewe shujaa jina lako halisi ni "Naipendatz"? Mtu unatetea na kusifia serikali na chama tawala lakini bado unajificha nyuma ya fake id. Unaogopa nini?Amueni tuwaone, kiongozi wenu yupo ndani siku ya 7 leo, mnapiga mayowe tu kwa id fakes, jitokezeni mstari wa mbele, Cowards
Kudhibiti uhalifu ni kwa manufaa ya taifa sio Ccm.Inauma sana kuona Polisi wanaolipwa mishahara kwa kodi za Watanzania wote, wakitumika kwa maslahi ya CCM!!
Time will tellKuendelea kujibizana nawe ni kukupa heshima usiyoistahili, bado hili hulitambui kwa sababu ya ukilaza wako.