Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

CCM wanajua hawapendwi. Hawataweka mazingira ambayo Watanzania watapiga kura za haki na kuwatoa. Haitatokea. Nashangaa kwa nini akina Mbowe hawajalijua hilo. Ni mpaka damu imwagike. Vinginevyo we are stuck with cahma cha majambazi.
Tuache kulia lia sasa wakuu. Hakuna njia ya amani itakayoleta mabadiliko, Kongo na mataifa mengine silah zipo, mapanga yapo, uwezekano upo mkubwa tu wa kukata migomba mmoja baada ya mwingine mpaka waseme po
 
Mama, mama…tunarudi kule tulipotoka! Uchumi uko hoi shauri ya Covid19, hii bado haitoshi? Tunataka “kubinywa” na mabeberu tena kua tunavuruga haki za binadamu? Kila la heri na kesi ya ugaidi, endeleeni kuchezea rasilimali za nchi!
 
You are prejudiced.

Mbowe hana kosa lolote until he's proven guilty with proof beyond reasonable doubt
Jue mtu asiitwe mwenye makosa kama kosa lake halijathibitishwa. Kesi ya Mbowe ni Kutuhumiwa tu, ni kama Sabaya. Wote hawa hawajatiwa hatiani. Tuache Mahamaka itafasri sheria
 
Ngoja tusubiri itapofika huko mahakama kuu, ndio mlolongo wa mashitaka na kesi utakuwa wazi zaidi
 
Mama anaupiga mwingi
Sasa hivi naona "Mama anaubutua mwingi, hadi unatoka nje"

Kweli nyinyiem ni ile ile

- kuna watu ndani ya nyinyiemu are working so hard kumuondolea mama sifa, ili 2025 akose asiuzike na waweke mtu wao. Naona wamejipanga, hadi 2025 tutaisoma.

Kama wanafanikiwa kwa kasi, maana sasa watu hawataki kumsikia mama tena, ukienda kituo cha mafuta, ongezeko la bei lipo juu, ukituma na kutoa hela, tozo, ukiweka vocha, tozo, August wanaanza kukata hela ya kumiliki line, binafsi amenitoka kabisa mother enu
 
Hivi wewe kwa akili yako ya kawaida kuna jeshi lolote katika dunia hii liliwahi kushinda nguvu ya umma pale walipoamua kufanya yao?

Kama hiyo nchi ipo nitajie. Sema watu bado hawajaamua tu ila huwa inaanza watu wachache then wanaungana mwisho wa siku viongozi wakuu wanatoroka wakiwa wamevaa baibui tena wanaume...
Amueni tuwaone, kiongozi wenu yupo ndani siku ya 7 leo, mnapiga mayowe tu kwa id fakes, jitokezeni mstari wa mbele, Cowards
 
Mama, mama…tunarudi kule tulipotoka! Uchumi uko hoi shauri ya Covid19, hii bado haitoshi? Tunataka “kubinywa” na mabeberu tena kua tunavuruga haki za binadamu? Kila la heri na kesi ya ugaidi, endeleeni kuchezea rasilimali za nchi!
Sasa kama mnajua uchumi uko hoi kwa nini mnaanzisha mamovement yenu ya kijinga ya kuwatoa watu kwenye njia ya kujenga uchumi? Si msubiri hii ishu ya covid iishe ndiyo muanze hayo madude yenu ya kuombea hela kwa jamaa zenu huko ulaya
 
wamsweke ndani tu, na ugaidi hauna dhamana.
Mhh mbona tuhuma nzito mno,huo ugaidi unahusiana na nini?japo Prosecutor angetufafanulia tumeachwa kwenye mabano ya taarifa.
Hao waliosema ataunganishwa nao walifanya ugaidi wa jambo gani?
 
Hukumu ya haki ipo kwa Muumba mbingu na nchi washakuwepo watesi zaidi ya wanavyomfanyia Mbowe ila wameshasahaulika. Yesu pamoja na wema wote alioufanya walimuua. Dunia ndivyo ilivyo zaidi ni kuwa kila mmoja kutambua ipo siku ya Hukumu.
 
Amueni tuwaone, kiongozi wenu yupo ndani siku ya 7 leo, mnapiga mayowe tu kwa id fakes, jitokezeni mstari wa mbele, Cowards
Na wewe shujaa jina lako halisi ni "Naipendatz"? Mtu unatetea na kusifia serikali na chama tawala lakini bado unajificha nyuma ya fake id. Unaogopa nini?

Amandla...
 
Huko nyuma wanasiasa kama Mbowe walikuwa na kiburi na kujigamba kufanya lolote.

Wakutafuna michango na ruzuku ya chama sawa, wakianzisha vikundi vya makomandoo sawa tu. Kumbukeni zahama ya mabomu ya Arusha.

Leo hii Mbowe amekuwa arraigned at Kisutu RM court makamanda mnachukia mama Samia. Huku ni kukosa hekima.

Tutulize munkari, kila Jumamosi ni kuvaa gwanda huku tukisubiru ukweli.
 
Back
Top Bottom