Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Mbowe anakuwa overrated mno na wafuasi wake ila kwenye maisha ya kawaida Mbowe is just another citizen. Pita kwenye vijiwe bila kuuliza utakuta hoja kubwa ni TOZO za miamala, ushindi wa Simba Kigoma na Chanjo.
Halafu ukisema Katiba ndiyo kabisa hawajui
Watu wanasaka pesa, maisha magumu halafu uwaletee ujinga wa kuandamana kumtetetea mtu anayemvuruga mama asipange uchumi?? Hakuna kitu kama hicho.
 
safi sana, ndo dawa yenu nyumbu. kama ni gaidi mlitaka asifikishwe mahakamani au ? dawa ya kibri ni jeuri.
 
Nafikiri Rais alikuwa tayari kuzingumza na upinzani mpaka pale mlipotangaza Mpango wa kumnyoa mbele ya waandishi wa habari.

Namaanisha huu upande wa pili wa SSH,umefunuliwa na upinzani wenyewe.
Hajawahi kuwa na nia hiyo. Aliyesema atamnyoa na wembe sio kiongozi au msemaji wa Chadema. Aidha, umesahau wimbo wenu wa " wembe ni ule ule?".
Upinzani haujafunua upande wowote. Mtu ukiwa kiongozi unatakiwa kuwa mvumilivu maana ni dhahiri hauwezi kukubalika na wote.
Unamfungaje mtu kwa kudai Katiba Mpya?Hayo ya ugaidi watadanganywa ambao toka mwanzo hawana mapenzi na Chadema.

Amandla...
 
Mungu wangu yupo up to date Sana ,mungu mwema Sana kwangu ,watz, na wapenda haki, familia ya mh Mbowe msiuzunike, ila furahin, yanakuja mazuri Sana pitia familia yenu, na familia ya chadema, Mh Mbowe atakua mzima asema BWANA , yeye ndo alpha na Omega, amechagua ukombozi kuliko tumbo lake , Amin nawambia sio mda yanamwisho asema bwana
 
wanaamini DJ ni mtakatifu hawezi kufanya makosa. waulizeni mzito kabwela na Dr sihala ndo wanajua siri zake.
 
KESI IMEFIKA PATAMU, SASA DUNIA YOTE ILIYOKUWA HAIFAHAMU MATENDO YA CCM YA AWAMU YA 5 NA YA SASA YA AWAMU YA 6 YATAANIKWA NA KUFAHAMIKA KINAGA UBAGA

Kesi hii ya Mbowe itakuwa ktk vitabu kama kesi ya serikali ya makaburu dhidi ya Nelson Mandela. Kesi hii itasomwa ktk historia baada ya CCM kungolewa kutoka madarakani kwa kupitia uchaguzi huru kama kesi ya : Mpinzani Freeman Mbowe ndani ya 'mahakama' za CCM. ifahamike katika mabano neno 'mahakama' ni kuwa CCM inataka kuburuza Mahakama zitumike vibaya pamoja na mfumo wa kusimamia / kuchunguza za jinai (criminal justice system) nzima, lakini imani yetu bado ipo kuwa Mahakama hapa bila "mabano" ni mhimili huru na itatenda haki na kukataa mbinyo wa aina yoyote ile toka upande wowote.

Historia inasema makaburu waliokuwa ktk serikali ya kibaguzi ya Afrika ya Kusini iliona waAfrika raia wengine waliokuwa wanadai kuwa watu-uhuru, kutaka demokrasia shirikishi na Marndeleo ya watu wote walikuwa ni hatari na wangeweza kuchelewesha maendeleo ya vitu kama madaraja, reli, flyovers pamoja ni miradi mingine mikubwa iliyokuwa ya mfano barani Afrika. Madai hayo ya serikali ya kibaguzi ya wachache ya miaka hii yanarudiwa na CCM miaka hii ya 2015 - 2025. Na CCM pamoja na serikali yake kudai wapinzani ni watu hatari wasio na uzalendo na wasioitakia Tanzania maendeleo.

Soma utetezi wa Nelson Mandela alipofikishwa mbele ya korti na utetezi huo wa Nelson Mandela kuenziwa na watu wote duniani na taasisi kubwa za kimataifa na vyuo vikuu vijana kufunguliwa macho juu ya tawala kandamizi za kibaguzi, katili na vinazokandamiza utu wa watu na haki zao kwa kisingizio cha kujenga uchumi, madaraja, flyovers, mabwawa ya umeme n.k
 
Ulaaniwe mwenyewe na wa kwenu wote. Issue hapa HAKI. Mengine ushuzi tu.
 
Yule mama anaongoza nchi kwa kufuata sheria

Kama Freeman anahusika na hizo tuhuma atashughulikiwa, kama hahusiki ataachiwa

Tuache vyombo husika vifanye kazi yake
Kama anaongoza kwa kufuata Sheria je Ukamatwaji wa Mtuhumiwa ulifuata Sheria?
Je Kutuhumiwa bila ushahidi ni Sheria pia?
Kuvunja Mirango ya Hotel usiku nako ni Sheria?
Kuzuia Wanasheria wamtuhumiwa nako ni kufuata Sheria?
Sometimes tusimamie haki na sio uchawi na uzandiki... Kama umeapa Kulinda Katiba kwa kumshrikisha Allah sw... basi fuata la Sivyo huyo Allah Sw akuhukumu aliyevunja kiapo na wale wanaoshabikia maovu pia Inshallah.

Kwa Upeo wa Macho yangu Mama anastahili laana na adhabu ya Mwenyezi Mungu la Sivyo atubu mapema na aache kuonea kama ameudhiwa awe mvumilivu ukikubali kusifiwa basi usikasirike ukizomewa kwani wewe ni Binadamu unakosea lakini una nafasi ya kutubu tubu...
 
baridi la segerea na mbu plus corona vikimchapa kule segerea ndio atapata akili. shwain.
 
Kesi hii ya Mbowe itakuwa ktk vitabu kama kesi ya serikali ya makaburu dhidi ya Nelson Mandela.
kwa hiyo mnaamini mbowe hawezi kufanya kosa? what if kuna ushahidi, unafikiri angekuja kwenu kuomba ruhusa kupanga njama? nyumbu mnakuwaga mmegawa akili kwa nani?
 
Huyu watamuua. Sikuamini kama serikali ya Samia inaweza kufanya haya. Next tutasikia kuwa amekufa. Na ni muda "mchache" ujao! Hili halitaishia hapa kumpa kesi ya ugaidi , watasingizia ugonjwa wamuue. Viongozi chadema tafuteni msaada wa yeyote anayeweza kunusuru maisha yake! Muwaone hata viongozi wakuu wa dini na waliostaafu to as to intervenena contacts za nje ambazo ni influencial
 
safi sana, ndo dawa yenu nyumbu. kama ni gaidi mlitaka asifikishwe mahakamani au ? dawa ya kibri ni jeuri.
Bwashee umeamka Toka pori lipi??

Mimi sio bavicha mwenzako kamanda.
 
Na wakati wote huo serikali ilikuwa ni ya CCM. Kwa nini hawakumfungulia mashtaka ya u "Don"? Kwa nini utapeli wa NHC umeonekana pale tu alipokuwa tishio? Na hata sasa hivi hawajachelewa. Wamfungulie mashtaka ya madawa kama wana unashahidi lakini sio hili ambalo halina mashiko.

Amandla...
 
Ugaidi sio silaha pekee

Kabla ya matumizi ya silaha kunakuaga na Mipango ambayo ni hatari zaidi
Wewe ni mmoja ya watu wenye michango ya kipumbavu sana hapa JF. Siyo kwa sababu unaitetea serikali, la hasha ila huna hoja zozote. Kuznaia sasa hivi nakuweka kwenye ignore list yangu.
 
Gaidi alikuwa jingaman magufuli, sasa hivi kamrithisha mrembuaji
Kuwa na adabu please, kama si kama mama yako basi anaweza kuwa kama dada yako, kama siyo basi mdogo wako...What do you gain kwakumkashifu binadamu mwenzako? After all ni Rais wa nchi, haina tofauti na kumtukana mama au baba yako ambaye ni kiongozi wa familia. Express your views without offending others
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…