Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
wapinzani wa hitler hawakuwa kama nyie cdm, mama kaja vizuri, anataka amani, ninyi mmemchokoza, linyweni lote tena taratibu.msitupigie kelele." Maneno ya Hitler kwa Wapinzane weke "" -- RIP
Naskia kuna wazee wa kazi wameandaliwa kumpaka mafuta ya mnato wamshughulikie ipasavyo😀Amewabrainwash wafuasi wake, kwao wao jamaa hakosei
I speek with confidence ,hakuana UGAIDI KWA mbowe, nitasema, na hata mbiguni nitasema mda wangu ukifikawewe ndo mpelelezi wa kesi? unakijua unachoongea? au umekalia akili.
Yaani watu wakamatwe kiholela na kuwekwa ndani kiholela kwa sababu za kisiasa kisa mahakama ipo na itafanya kazi yake?Wewe upo tayari kukamatwa kiholela na kuwekwa ndani kiholela kisa mahakama ipo na itafanya kazi yake?Tuache siasa katika hili.
Tuiachie mahakama ifanye kazi yake. Mahakama ile ile iliyoamuru Mbowe na wenzake warudishiwe fedha walizotozwa huko nyuma, ndiyo hiyo hiyo itakayotoa hukumu ya kesi ya ugaidi
Mwambieni Mbowe aachane na ugaidi. Haulipi
Makamu mwenyekiti alisema hakuna kumuwekea mdhamana, sasakwanini mawakili walienda hukoMuda mchache uliopita Mwenyekiti wa Chadema Mbowe alikuwa mahakamani Kisutu.
UPDATE:
TAARIFA KWA UMMA JUU YA AFYA YA MWENYEKITI WA TAIFA MHE.FREEMAN MBOWE .
Tumepokea taarifa za hivi punde kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe.Freeman Mbowe amefikishwa katika Mahakama ya Kisutu na amesomewa Mashitaka ya Ugaidi.
Hii ni pamoja na ukweli kuwa Familia na Mawakili wake walijulishwa kuwa wanampeleka hospitali na hivyo alifikishwa Mahakamani kimyakimya bila kuwa na uwakilishi wa wanasheria wala familia yake.
Taarifa zaidi zitakuja hapo baadaye ili kujua aina halisi ya mashitaka ambayo amefunguliwa (charge sheet) baada ya kuiona hati ya mashitaka .
Imetolewa Leo tarehe 26 Julai,2021
John Mrema
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje
Every Tanzanian is subjected to law, shutupHuu ni uendawazimu.
Nchi hii sasa tumekuwa na vichaa kwenye sehemu zisizohitaji uwepo wa watu wa aina hiyo katika uongozi wa nchi.
nenda mahakamani kamtolee ushahidi ashinde kesi, acha kutapatapa hapa, haimsaidii chochote kwanza hata hajakusikia.I speek with confidence ,hakuana UGAIDI KWA mbowe, nitasema, na hata mbiguni nitasema mda wangu ukifika
Mnaandika andika tuu... JiangalieKwahiyo Mweshimiwa Rais ameamua kuwa mjinga kihasi hiki.
Kama alifanya ugaidi yeye ni kwa nini akamatwe pamoja na wafuasi wengine wa chadema?Serikali iliwahi kutangaza kuwa wale wafuasi wengine wa chadema walikamatwa kwa sababu gani?Mwambieni Mbowe aachane na ugaidi. Haulipi
Does it matter nini unasema? Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko manenoI speek with confidence ,hakuana UGAIDI KWA mbowe, nitasema, na hata mbiguni nitasema mda wangu ukifika
EeenHeee,Every Tanzanian is subjected to law, shutup
Swai fikirishi Hivi uwezo wa mtu ukifika mwisho wa kufikiri inakuwajeKwahiyo Mweshimiwa Rais ameamua kuwa mjinga kihasi hiki.
maneno kama haya ndio hata mtuhumiwa DJ gaidi alikuwa nayo, sasahivi yupo segerea amepewa ndoo.Kwahiyo Mweshimiwa Rais ameamua kuwa mjinga kihasi hiki.
Chanzo ni viongozi wa kitaifa wanatumia tungo tata mfano mkishindwa kulipa tozo muhamie........Naogopa hasa wapi tunaelekea kama nchi, naogopa Sana mitazamo yetu wengi kwenye hii Mitandao na hata kwenye majikwaa mbalimbali, hekima uko wapi, mbona umekua adimu kiasi hichi, hekima nakutafuta, watie Nuru yako Wazee kwa vijana , wake kwa waume, ndiopo haki yako ikachomoze tena katika nchi, na Amani yako ikatamalaki tena miongoni mwetu.
Je tumeuvaa uhayawani?
Je sisi ni wanyana wa mwituni hata tuparurane kwa ndimi zetu Kali zilizojaa sumu kama ya nyoka wakali?
Enyi donge dogo wenye hekima inukeni, mkalitie chachu yenu dongo hili kubwa.
Ewe hekima utoke kwenye maficho yako uonekane tena.
Naandika, nasikitika Sana kwa ajili ya nchi yangu.
wewe ndo mpelelezi wa kesi? unakijua unachoongea? au umekalia akili.