mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,358
Sawa hizo remedies zipo je ni wangapi wanajua kuhusu hizi remedies na je zinatekelezwa? Maana Tanzania mabingwa kuandika vitu vizuri kwenye makaratasi lakini sio utekelezajiwatuhumiwa wakikaa muda mrefu polisi sheria imeshaweka remedy zake, nenda kasome sheria au ajiri mwanasheria atakufafanuliwa. there are remedies in every thing that you people complain about.
Hapa hawataki kukiri kuwa walikosea! Chadema nao ni wale wale tu kama CCM.Nafikiri Rais alikuwa tayari kuzingumza na upinzani mpaka pale mlipotangaza Mpango wa kumnyoa mbele ya waandishi wa habari.
Namaanisha huu upande wa pili wa SSH,umefunuliwa na upinzani wenyewe.
Mashehe walipatikana na hukumu hizi kesi ushahidi ndiyo muhimuTatizo na nyinyi Chadema mlianza shobo mapema sana kwa Samia mlikuwa nyinyi ndo mmepewa kazi ya kusifu na kuabudu ghafla mwenyekiti wenu kajitokeza alipojificha na kutaka kukutana na Rais lile tu nikajua bhasi siku zote mwanamke ukimshobokea sana anakudharau hata kama alikuwa na interest na ww 😂😂
Jpm pamoja na mabaya yake wanayosema Chadema hakuwahi kumpa kesi ya Ugaidi mwenyekiti wa wachaga na Chadema Mr Mbowe . Sasa Serikali ya Muhula wa 6 mliyokuwa mnaipamba na kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu kwa roho mbaya zenu juu ya JPM, inamweka ndani Mwenyekiti wenu na Kesi ya Ugaidi
Mbowe yupo kundi Moja na Osama na Chadema ni Chama cha kigaidi kikiungana na Abu Sayyaf Group (ASG),Afghan Taliban,Al-Nusrah Front, Al-Shabaab,Ansar al-Sharia, Ansar Bayt al-Maqdis (ABM), Al-Qa'ida Core (AQ)
Ng'wanokoz....Huyu baba ana matusi jamani wasukuma sijui tulimuudhi nn, yaani anaenda usukumani halafu anatukana hao wasukuma waliompokea na kuhudhuria shughuli yake, haya katoka hapo kaenda gereza la shy Nako wamefika ni kutukana tu kila mtu, yaani kwa kweli mi hata sishangai kwa kesi zake za ugaidi.
Does it matter nini unasema? Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko manen
Hii ni kweli?Mbona mnashangaa sana Mbowe kushatakiwa? Hakuna mtu mwenye crime history ndefu kama Mbowe ila mfumo ulikuwa unammezea tu. Miaka ya 1985- 1990s alikuwa ni drug trafficker. Kuanzia 1990 amefanya biashara kwenye nyumba ya NHC kwa kutapeli mpaka 2016 Magufuli alipovunja Bilcanas.
EeenHee Bhwanah,maneno kama haya ndio hata mtuhumiwa DJ gaidi alikuwa nayo, sasahivi yupo segerea amepewa ndoo.
Mkuu siku izi huandiki gazeti, au kwa vile ulituaga kwamba unastaafu?Duh...!.
P
Soon wataaibika Katiba mpyaa HAIEPUKIKINitasema na mbiguni nitasema mda wangu ukifika ,hakuna UGAIDI KWA MBOWE,
KAMA MBOWE NI GAIDI BASI NA FAMILIA MWL NYERERE NI FAMILY YA UGAIDI ,naishia hapo, wengine mpo hapo hata hamjui taifa kimetokea wapi, tz history back ground hamjui nawambia, umejikuta tu upo police,Tiss, magereza,uamiaji, JWTZ, Mgambo, n.k someni history ya taifa Hili mtajua tumetoka wapi na mtaondoka gizani, na kuongeza kitu flani vichwani kwenu
Mahakama yangu ya kwanza ni ya Mungu, utaniambia nini mfano mtu kama wewe, mahakama za kwangu sio za kidunia ila next level Mara elfu moja mahakama zenu za kidunia ambapo mwajiona mmefikanenda mahakamani kamtolee ushahidi ashinde kesi, acha kutapatapa hapa, haimsaidii chochote kwanza hata hajakusikia.
nenda kwa mwanasheria yeyote uliza "remedies za judicial review" ie. habeas corpus, quo warranto, prohibito, mandamus, procedendo, and certiorari.Sawa hizo remedies zipo je ni wangapi wanajua kuhusu hizi remedies na je zinatekelezwa? Maana Tanzania mabingwa kuandika vitu vizuri kwenye makaratasi lakini sio utekelezaji
kwa kusema hivyo unafikiri umemwokoa kwa chochote? bado yupo segerea usiku huu.Nitasema na mbiguni nitasema mda wangu ukifika ,hakuna UGAIDI KWA MBOWE,
KAMA MBOWE NI GAIDI BASI NA FAMILIA MWL NYERERE NI FAMILY YA UGAIDI ,naishia hapo, wengine mpo hapo hata hamjui taifa kimetokea wapi, tz history back ground hamjui nawambia, umejikuta tu upo police,Tiss, magereza,uamiaji, JWTZ, Mgambo, n.k someni history ya taifa Hili mtajua tumetoka wapi na mtaondoka gizani, na kuongeza kitu flani vichwani kwenu
Ukamatwaji wa Magaidi ndiyo upo hivyo, na ashukuru nchi yetu imestaarabika, nchi nyingine order ingekuwa ni "Shoot to kill", no mambo ya mahakama.Mi nadhani kuna tatizo kwenye ofisi na mfumo mzima wa mashtaka kwa serikali yetu.kwanza Mara nyingi watuhumiwa wanakaa polisi zaidi ya muda wa kisheria kufikishwa mahakamani ie unategemea na mood ya polisi, pili wanakamata watuhumiwa kabla ya upelelezi haujakamilika matokeo yake wakifika mahakamani unakuta mtuhumiwa hana cha kujibu ie case ya uamsho.tatu taratibu na sheria hazifuatwi wakati wa ukamataji wa watuhumiwa Mara nyingi utavamiwa, kupigwa au hata kusachiwa bila kuwepo mashahidi,mwanasheria nk
Kiujumla Tanzania ndio nchi ambayo polisi anaweza kujichukulia sheria mkononi,hawafuati weledi na taaluma ya kipolisi katika kutekeleza majukumu yao.
Kwa kesi ya Mbowe hata kama anayo kesi ya kujibu ila kwa jicho la kawaida kabisa tunaona kuna ukiukwaji kubwa wa sheria kuanzia kukamatwa kwake,kushikiliwa na kufikishwa mahakamani. Sasa haya mambo anafanyiwa Mbowe ambaye ni mtu yuko kwenye spotlight, je sisi wananchi wa kawaida inakuwaje tukiacha itikadi za kisiasa.
Nadhani wanasubili ndevu ziote na mvi zionekane tena kama wakati ule. Si unajua ukikosa saloon kwa wiki mbili?Muda mchache uliopita Mwenyekiti wa Chadema Mbowe alikuwa mahakamani Kisutu.
UPDATE:
TAARIFA KWA UMMA JUU YA AFYA YA MWENYEKITI WA TAIFA MHE.FREEMAN MBOWE .
Tumepokea taarifa za hivi punde kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe.Freeman Mbowe amefikishwa katika Mahakama ya Kisutu na amesomewa Mashitaka ya Ugaidi.
Hii ni pamoja na ukweli kuwa Familia na Mawakili wake walijulishwa kuwa wanampeleka hospitali na hivyo alifikishwa Mahakamani kimyakimya bila kuwa na uwakilishi wa wanasheria wala familia yake.
Taarifa zaidi zitakuja hapo baadaye ili kujua aina halisi ya mashitaka ambayo amefunguliwa (charge sheet) baada ya kuiona hati ya mashitaka .
Imetolewa Leo tarehe 26 Julai,2021
John Mrema
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje
Upo sawa mkuu KATIBA INAKUJA NA HAKUNA WA KUZUIA ningesema Mara nyingi wi confidence, maana najua who iam in connection with my Lord, kakuna wakuzuia ,wanajidanganya tu , tz ni nchi ya Mungu, na kawaumba watz KWA mfano wake, twende tuSoon wataaibika Katiba mpyaa HAIEPUKIKI