Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

kwahiyo kwa mahakama yako unaamini mbowe ni msafi? kaulize walio karibu naye, ukiweka siasa pembeni, idadi ya wanawake alionao michepuko, maovu aliyoyafanya hadi wenzake wakakimbia chama, na takataka nyingine nyingi kibao ambazo huzijui, bado kuwasaliti ninyi na kula kwa mgongo wenu wakati ninyi mnapigania na kupigwa virungu yeye anakula bata. Mungu hadhihakiwi na uwimwingize kwenye hii kitu.
 
Sijui kwanini watu wamegoma kujifunza kwa kupitia makosa ya watangulizi
Hamna kosa lolote, jambazi yeyote lazima apelekwe mahakamani, mahakama itaamua kama kakosea or not! Mnataka Rais aingilie mahakama?
 
EeenHee Bhwanah,

Mbona na huyo unamchelewesha kumfikisha Segerea mkuu?

Hapana, usinigeukie, ninakukumbusha tu wewe wajibu wako unaouhimiza hapo.
natamani wamkamate hata leo wampeleke akalale kigodoro kimoja na dj.
 
Mchaga na ugaidi wapi na wapi? mngesema kaiba pesa sawa lakini ugaidi? nafikiri serikali inajidhalilisha kwa hili.
 
Nimekusoma mkuu 'Beatrice Kamugisha'
Ni mawazo fikirishi, hata kama ni mchanganyiko wa hisia!
 
kwa kusema hivyo unafikiri umemwokoa kwa chochote? bado yupo segerea usiku huu.
Ni mapito tu ,kwani ,MTUME alipita mangapi, lakini pia sie wakiristu, YESU ALIPITA MANGAPI,? ukisikia wakiristu Wanasema BWANA na muokozi wanga,, sio ya leo ina history,
 
 
Ni mapito tu ,kwani ,MTUME alipita mangapi, lakini pia sie wakiristu, YESU ALIPITA MANGAPI,? ukisikia wakiristu Wanasema BWANA na muokozi wanga,, sio ya leo ina history,
naona umeshaanza kumwabudu dj, mtoleeni na sadaka basi.
 
Gaidi ndani ya mahakama?
Bado unamsaka Basha ako? Kajumuike naye segerea na usiikose hiyo kwani mtaani tunasema bonge la chance! Kwapia kisimu Cha tochi hapo Kisha kimbilia kituo Cha polisi ili kesho wakupeleke ukaungane na bwana Ako maana sio Kwa muwasho huo ulionao!
 
Hamna kosa lolote, jambazi yeyote lazima apelekwe mahakamani, mahakama itaamua kama kakosea or not! Mnataka Rais aingilie mahakama?
Ahh Ukishasema Jambazi maana yake ushahukumu mahakani kufanyni nini sasa??? akili ndogo kama punje ya Mchele
 
natamani wamkamate hata leo wampeleke akalale kigodoro kimoja na dj.
Hiyo inaonekana itakupa raha sana ndani ya moyo wako.

Usiishie kutamani mkuu, kama sisi wengine "tunaotamani", wewe himiza tu na itakuwa, si upo upande wenye nguvu mkuu wangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…