Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Inavyoelekea kupatikana kwa katiba mpya ni mpaka damu zimwagike. Ingekua ni nchi nyingine sasa hivi barabara zingefurika, kiongozi Mkuu wa Chama cha Upinzani kuwa jela si jambo dogo.
Kiongozi mlevi nani aandamane. Wapimzani hasa wa chadema ndo mjue hamuungwi mkono
 
Kuna jambo alitaka fanya kama inavyodaiwa kama anavyoshutumiwa ili ku create tension serikalini, CCM na Samia waingie kwenye mtafaruku then wananchi waamke then iwe fursa.
Thus why I don't like politics.
CCM watu wa ovyo sana...nchi ina ombwe la uongozi.
 
M
Inavyoelekea kupatikana kwa katiba mpya ni mpaka damu zimwagike. Ingekua ni nchi nyingine sasa hivi barabara zingefurika, kiongozi Mkuu wa Chama cha Upinzani kuwa jela si jambo dogo.
Mbona upo nyuma ya key body?Au shemeji amekuzuia kuandamana ?
 
Polisi ndiyo wanajua kama mnaona ameonewa fanyeni maandamano nchi nzima kama Afrika Kusini.
Kwa nini hupenda sana kuhimiza maandamano, kuna jambo mnafaidika nalo sana?

Ni kama kutokuwepo maandamano kunawanyima fursa fulani, ni fursa gani mnayoitafuta sana?

Kama polisi ndio wanajuwa sasa kihelehele cha kuwaambia watu "wanalialia" kinatoka wapi, Kina faida gani kwako?
 
hata kwa Sabaya?
Nataka kuamini kuna malengo mahususi kwenye jambo la Sabaya, it's like walifanya hivo ln advance ili Mbowe afuate so to balance the story, Mbowe huenda alikuwa kwenye target for long time. Sabaya will eventually survive, ila Mbowe.....time will tell
 
Back
Top Bottom