Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Loose talk.Hakuna mwanaccm alie na akili au kumbukumbu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loose talk.Hakuna mwanaccm alie na akili au kumbukumbu.
Chaga gangsters.Amewabrainwash wafuasi wake, kwao wao jamaa hakosei
Kiongozi mlevi nani aandamane. Wapimzani hasa wa chadema ndo mjue hamuungwi mkonoInavyoelekea kupatikana kwa katiba mpya ni mpaka damu zimwagike. Ingekua ni nchi nyingine sasa hivi barabara zingefurika, kiongozi Mkuu wa Chama cha Upinzani kuwa jela si jambo dogo.
Alikuwa amejivalisha mabomi ajilipue?Kesi ya ugaidi huwa ngumu sana ku deal nayo.
Namwomba kaka Mbowe aachane naie ugaidi. Haulipi
Kabisa Kim wajue Mbowe ni muumini ....hii kitu italeta shida sana huko mbele....hawajuwi kusoma nyakati hawa kuna siku wata haribu amani ya nchi
Mbona upo nyuma ya key body?Au shemeji amekuzuia kuandamana ?Inavyoelekea kupatikana kwa katiba mpya ni mpaka damu zimwagike. Ingekua ni nchi nyingine sasa hivi barabara zingefurika, kiongozi Mkuu wa Chama cha Upinzani kuwa jela si jambo dogo.
Katiba ya rasimu za Warioba ni kaa la moto kwa ma ccm kila wakilala na kuamka wakisikia watu wanasema mambo ya katiba hiyo matumbo ya kuhara hayakomi.
Kwa mtu kama Mbowe kufadhili hivo vikundi fulani kwenda kufanyia umafia sehemu fulani ilo kawaida sana.Hii kesi itachafua nchi kuliko Mbowe na CHADEMA hakuna ugaidi Tanzania
Kwa nini hupenda sana kuhimiza maandamano, kuna jambo mnafaidika nalo sana?Polisi ndiyo wanajua kama mnaona ameonewa fanyeni maandamano nchi nzima kama Afrika Kusini.
Kuendelea kujibizana nawe ni kukupa heshima usiyoistahili, bado hili hulitambui kwa sababu ya ukilaza wako.Acha kuweweseka
Nataka kuamini kuna malengo mahususi kwenye jambo la Sabaya, it's like walifanya hivo ln advance ili Mbowe afuate so to balance the story, Mbowe huenda alikuwa kwenye target for long time. Sabaya will eventually survive, ila Mbowe.....time will tellhata kwa Sabaya?