Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

Kukusanya watu wakati wa janga(epidemic) kama korona ni ugaidi, acha ashughulikiwe!

Na zile hela wanazopokeaga Nairobi baada ya Lissu kuzisomba toka ulaya wanadhani vipepeo hawazionagi? Vipepeo wako katika inner circle ya Chadema
Jinga sana wew,mazombie wenzio tu ndio watakuelewa
Una akili za bata
 
Ulitakiwa uandike "......what kind of a question is this?". Kiswahili ni lugha pendwa, usilazimishe lugha za watu kama huzijui. Kilangila.
Sawa...Sasa unasemaje? Mimi sijui kii gereza na Wala sioni aibu....na wale wanaokosea Kiswahili humu unawaambiaje Ndugu? Nao wasilazimishe Kiswahili wakati ni Waswahili?! Stupid...
 
Huyu wicked stepmom tunatakiwa tumuue kama tulivyomuua yule wicked step father wa Chato.
 
Hivi kati ya yule Mbunge wa Kishapu CCM aliyeshikwa na mitutu ya Bunduki na Mbowe nani Gaidi..?
 
Never and Never Again .......

Hatutakubali tena.........

Tutashinikiza.

Kauli nzito za kishujaa utafikiri hata mtu anao huo ubavu wa kufanya chochote.

Mbowe amelelewa na system na ametajirishwa na system.

System hiyo hiyo sasa hivi imeshamktaaa, tatizo la Mbowe hatako kukubali system haimtaki tena.

Mbowe alikuwa anakula zaidi ya 300M ya Ruzuku kila mwezi kwa miaka mitano 2010/2015.

Mbowe amekula zaidi ya 450M ya ruzuku kwa kila mwezi kwa miaka mitano 2015/2020.

Mbowe alikuwa ana Billcanus, Tanzania Daima n.k

Kipato cha CHADEMA kimepotea, Billcanus na Tanzania Daima imepotea.

Asipojiangalia atajipoteza na yeye mwenyewe. Na watu wataendelea na maisha kama kawaida.

Dalili zinaonekana. Aendelee kukaza shingo.
 
System hiyo hiyo sasa hivi imeshamktaaa, tatizo la Mbowe hatako kukubali system haimtaki tena.......system ipi? weka uchaguzi huru then tutapima kauli yako.

All in all, Uliyoandika hayakuhusu, mali zake is non of your bussines, talk the politics of Mbowe and Samia (if you like)
 
Never and Never Again .......

Hatutakubali tena.........

Tutashinikiza.

Kauli nzito za kishujaa utafikiri hata mtu anao huo ubavu wa kufanya chochote.

Mbowe amelelewa na system na ametajirishwa na system.

System hiyo hiyo sasa hivi imeshamktaaa, tatizo la Mbowe hatako kukubali system haimtaki tena.

Mbowe alikuwa anakula zaidi ya 300M ya Ruzuku kila mwezi kwa miaka mitano 2010/2015.

Mbowe amekula zaidi ya 450M ya ruzuku kwa kila mwezi kwa miaka mitano 2015/2020.

Mbowe alikuwa ana Billcanus, Tanzania Daima n.k

Kipato cha CHADEMA kimepotea, Billcanus na Tanzania Daima imepotea.

Asipojiangalia atajipoteza na yeye mwenyewe. Na watu wataendelea na maisha kama kawaida.

Dalili zinaonekana. Aendelee kukaza shingo.
Rubbish
 
Ni Thomas Simba tena, Mungu tuhurumie

Kama kawaida mtesi wa CDM yuko kazini tena. Kapangiwa kesi ya Mbowe.
Jiandae kwa rufani and all procedures maana HUKUMU INAJULIKANA
Kesi inakwenda Mahakama kuu kwani Kisutu hawana mamlaka ya kusikikiliza mashtaka hayo!!Simba kapokea tu kama gari inayopita keep left,punguza mwendo,kona na endelea!!!
 
Ni
Never and Never Again .......

Hatutakubali tena.........

Tutashinikiza.

Kauli nzito za kishujaa utafikiri hata mtu anao huo ubavu wa kufanya chochote.

Mbowe amelelewa na system na ametajirishwa na system.

System hiyo hiyo sasa hivi imeshamktaaa, tatizo la Mbowe hatako kukubali system haimtaki tena.

Mbowe alikuwa anakula zaidi ya 300M ya Ruzuku kila mwezi kwa miaka mitano 2010/2015.

Mbowe amekula zaidi ya 450M ya ruzuku kwa kila mwezi kwa miaka mitano 2015/2020.

Mbowe alikuwa ana Billcanus, Tanzania Daima n.k

Kipato cha CHADEMA kimepotea, Billcanus na Tanzania Daima imepotea.

Asipojiangalia atajipoteza na yeye mwenyewe. Na watu wataendelea na maisha kama kawaida.

Dalili zinaonekana. Aendelee kukaza shingo.

Never and Never Again .......

Hatutakubali tena.........

Tutashinikiza.

Kauli nzito za kishujaa utafikiri hata mtu anao huo ubavu wa kufanya chochote.

Mbowe amelelewa na system na ametajirishwa na system.

System hiyo hiyo sasa hivi imeshamktaaa, tatizo la Mbowe hatako kukubali system haimtaki tena.

Mbowe alikuwa anakula zaidi ya 300M ya Ruzuku kila mwezi kwa miaka mitano 2010/2015.

Mbowe amekula zaidi ya 450M ya ruzuku kwa kila mwezi kwa miaka mitano 2015/2020.

Mbowe alikuwa ana Billcanus, Tanzania Daima n.k

Kipato cha CHADEMA kimepotea, Billcanus na Tanzania Daima imepotea.

Asipojiangalia atajipoteza na yeye mwenyewe. Na watu wataendelea na maisha kama kawaida.

Dalili zinaonekana. Aendelee kukaza shingo.
Ni nani aliyekuloga?
 
Back
Top Bottom