Kisutu: Erick Kabendera afikishwa mahakamani, upelelezi dhidi yake haujakamilika

Kama upelelezi haujakamilika kwanini walimkamata? Wenye ufahamu juu ya taratibu za kuendeshaji mashtaka msaada tafadhali kwa jukwaa
 
Subiri Lissu akija atakujibu mkuu, alifinywa siku kadhaa tu alipotoka anahojiwa na watu wa media kajibu huku anafuta machozi "kule sio kuzuri".

Hapa unataka Kumaanisha nini Kiongozi? Funguka!
 
Mwandishi wa habari ni mtu mwenye nguvu kuliko mtu mwenye bunduki mkononi.

Huwezi kumuita mnyonge hasie na nguvu.
Huyo anaweza kusababisha vifo au maendeleo chanya kwa maandishi yake tu.

Nazungumzia kwa lens ya state apparatus!

Majamaa ya serikali yana power ila hua hayana akili kabisa!

Kama hii kesi hata mtoto mdogo anaona waziwazi haya majitu ni majinga!

Vita ya ukweli huwezi pambana nayo kwa kesi za kutunga na kuwaweka watu vizuizini namna hii!

Makala inajibiwa kwa makala,weka ukweli!

Sijui lini tutakuja kua kama mataifa yalioendelea!!!

Sijui
 
Badala ya kuwalinda RAIA mmeamua kuwatesa na kuwanyanyasa.
 
Ngoma mbichi,anatakiwa azoee,kusaliti nchi si jambo dogo
 
Acha matusi basi maana wote ni watanzania.
Kama katukana leta ushahidi, kama hujuma ya uchumi kesi hiyo mahakamani.
Acha vitisho na maonevu kwa wanyonge kisa wasiseme wakae kimya!!
 
Hata huko kina Snowden na Assange wanaipata vilivyo,kalagha bhaho!
 
Kuna mapoyoyo yanasimama nae hayana lugha moja na sisi kama nchi yanaangalia usawa wa matumbo na familia zao.suala la kuisaliti nchi kwa kigezo cha kalamu ya uandishibwa habari tutasimama na serikali yetu mpaka kieleweke
 
Hata huko kina Snowden na Assange wanaipata vilivyo,kalagha bhaho!

Unafananisha makosa ya Snowden na Kabendera?

Ndio maana nasema nyie kunguni wa CCM ni majinga ya mwisho kabisa!

Hakuna mwananchi wa nchi hii ambae amesoma akawahi kua wa nafasi ya kumi kwenda juu darasani yupo CCM!

No!

Wote mliopo humo ni mapunguani mentally disabled clowns!
 
[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…