Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angewasifia mgeuliza haya yote? hapa ndipo tatizo sugu mlilonalo timu awamu ya tano.Kama alikuwa mwandishi wa the economist si alikuwa analipwa, na kama alilipwa hiyo pesa ilipitia wapi, kodi alilipa kutokana na hayo malipo? Kama alipata malipo kwa kujificha sasa ndio faida yake, ni sawa n pesa haramu, angejisajiri kama mwandishi wa the Economist akajulikana na akalipa kodi isingejuwa shida, mengine yangevumilika.
"JIWE"Dude gani wewe mpuuzi kuwa na heshima
Hili ndilo tatizo. Wanaosifia wao siyo wahujumu uchumi, watakatishaji fedha haramu na wahalifu. Yani kuna siku utakuta naye Membe au Lissu kwa kuwa wanakosoa basi wakapanda kizimbani kwa haya haya mashitaka. Ila kina Rostam sasa ni waadilifu. Kina Manji ni wahujumu uchumi. Hii serikali ndiyo huwa inanichosha hapo tu.Angewasifia mgeuliza haya yote? hapa ndipo tatizo sugu mlilonalo timu awamu ya tano.
kila mkosoaji wa awamu ya tano lazima lazima apate heka heka...hapa ndipo tunaweka mashaka kama haat haya mashtaka ni ya kweli.
sasa jamani watu 50m wote tuwe na mawazo sawa kweli, tunakwenda kujenga Taifa gani??
Haya ndio alikua anayalalamikia Jaji mkuu katika siku ya sheria kama sikoseiHatimaye, Erick Kabendera kukosa dhamana kwa kosa la kutakatisha fedha. Kisheria, kosa la utakatishaji fedha halina dhamana. Ni kusubiri kusikilizwa na kuamuliwa kwa kesi yake tu mahakamani. Yajayo yako vyema sana...
Kamanda, inamaana umeshasahau mara hii kuwa kabla ya 2015 tulikuwa na RAIS "DHAIFU" asiye na maamuzi?Duuh wanamuundia kesi isiyo na dhamana...Halafu haiwezekani mashtaka yote yaanzie 2015 hadi 2019.. Kwani enzi za JK alikuwa wapi? Hayo mashtaka ni ya kupika! Halafu mbona hakuna uchochezi badala yake amehusishwa na magenge ya kihalifu? Hao wenzake mbona hawajakamatwa kama wamejiridhisha kuwapo hayo magenge?
Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
Umejiridhishaje??Aisee nimejiridhisha kuwa walitaka kumuua na kweli huenda Azory ali "Disappear and died"
nasikia ukiua unapata mateso makali wakati wa kufa....kimba na mkojo lazima uviache eneo la tukio huku malkia mwenye vazi la moto akikupokea kuzimu.Uzuri ni kwamba kila nafsi ita kufa tu.
Tamba, piga, uwa, nyang'anya,dhulumu, ikifika siku lazima uende.
Haki ipi?Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
Sawa,haki itendeke.
Nimesoma comments zote ya maana ni hii tu wengine wote wanaropoka wasivyovijua na kuweka siasa mbele.Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.