Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Hawa watu are so stupid
Kukwepa kodi, polisi ndiyo wanakwenda kumkamata kwa kuvizia na kuzima simu zake

Hopeless Kabisa hii mikitu
Tena wakiwa na mitutu zaidi ya saba wakati kamtu kenyewe ni kamoja tena hakana silaha yoyote. Halafu kesi si ilikuwa uhamiaji? Mara hii imeenda polisi tena kwa mashitaka tofauti kabisa na yale tuliyoambiwa ni ya kichochezi
 
Pole Kaka jamani kabla ya kufanya upumbavu muwage mnafikiria na watoto wenu. Sasa watoto wanateseka kisa ujuaji wa baba yao. Yaani huyu hana tofauti na Victoire wa Rwanda aliecha familia yake Uholanzi kisa kwenda kumpinga Kagame. If you cant beat them,then join them.
 
Mawazo ya kijinga haya. Akina Nyerere na Mandela wangekuwa na mawazo ya kijinga hivi, tungekuwa bado utumwani.
Pole Kaka jamani kabla ya kufanya upumbavu muwage mnafikiria na watoto wenu. Sasa watoto wanateseka kisa ujuaji wa baba yao. Yaani huyu hana tofauti na Victoire wa Rwanda aliecha familia yake Uholanzi kisa kwenda kumpinga Kagame. If you cant beat them,then join them.
 
Uzuri ni kwamba kila nafsi ita kufa tu.

Tamba, piga, uwa, nyang'anya,dhulumu, ikifika siku lazima uende.

Kufa siyo shida, kwa maana una mwanzo, lazima pia uwe na mwisho. Kabla ya kuwapo au kuzaliwa ulikuwa ulikuwa hauhisi chochote na watu walikuwa hawajui chochote kukuhusu. Kidogo kwa sasa ukifa utaacha kumbukumbu (iwe nzuri au mbaya). Lakini lililo la msingi na la kupigania, ni uhusiano wako na muumba wako punde kabla ya kukoma kuwa hai. Yoote haya yanapita. Nadhani unakumbuka yule mharifu aliyetundikwa karibu na Yesu. Aliboresha uhusiano wake pamoja na muumba wake muda mfupi tu kabla ya kukoma kuishi, na matokeo yake tunayasoma kwenye vitabu vya injili.
Nitakie adhuhur njema mja mwenzangu.
 
Chifu hatukatai hilo usemalo,lakini tukumbuke miaka iyo yote ya nyuma walikuwa wapi,alichokamatiwa mwanzo walisema ni Uraia mambosasa alipotudhibitishia sasa hili la ukatishaji na hilo genge la uhalifu linakujaje hapo na hilo genge hao waliokuwa wanashirikiana nao wako wapi ?
Mkuu samahani, kwahiyo kwa kusema hivi ina maana una taarifa zote za uchunguzi wa hiyo kesi, au ulitaka kila hatua ya uchunguzi wa makosa ya huyo mtu iwe inawekwa public.?
Kwahiyo kukamatwa kwa kosa moja ndio kutaficha makosa mengine yasifatiliwe?

Kwahiyo kama alikuwa anafanya hayo tangu zamani na hakukamatwa basi sasa ndio kusema serikali ya sasa haina ruhusa ya kumkamata na kushitakiwa kwasababu tu alianza kufanya siku nyingi na hakukamatwa?
Ebu nisaidie kuelewa hapo mkuu.
 
Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
Unakumbuka baada ya kutekwa (hadi watu walipopiga kelele ndipo tukaambiwa wamemkamata) kuwa walisema kuwa kosa lake ni utata wa uraia? Sasa iweje tena makosa yamebadilika?
 
So sad...hicho najua ni kifungo cha miaka sita jela,mungu mkubwa najua atamfikisha salama 2025 baada ya hapo atatoka tu na ataonekana hana hatia...shetani ni shetani tu ingawa wafuasi wake huwa wanamsifia kama malaika
 
Haki ipi?
Acheni kuterrorize watu
Kilio cha mwenzako leo kigeuke kilio chako na ukoo wako hadithi kiama
Huna utu roho mbaya kama chuma cha pua
Unafaidika nini na kuumiza roho za watu
Ushahidi wa transactions my foot
Ninyi mmeibia wananchi kiasi gani?
Pathetic unbelievable!
Yana mwisho hata!
Stay strong Kabendera You will win thia....
The whole world is watching

Kumbe kuna watu ambao mnaijua kesi hii nje ndani. Maoni yangu yalikuwa, kama hatuna habari au taarifa kamili, hatuna haja ya kulaumu vyombo husika, kwa maaa wao wamejiridhisha mpaka wakampeleka mahakamani kwa mashtaka hayo.
 
Serikali ya facist inachekesha kweli mliosema nyie si ndio mlisema mnamchunguza urais wake ?Leo imekuwa kutakatisha fedha kisa ni kosa lisilokuwa na dhamana ,eti kushirikiana na wahariifu ?chama cha mashetani muwe na aibu .
 
Hizo kesi hazina dhamana. Wataendelea kuzichelewesha kusikiliza Kwa kigezo cha ushahidi haujakamilika. Mpaka kuja kwisha itakuwa 2025,Jiwe akijiandaa kuchomoka madarakani kama atakuwa hajaFogde katiba ili abakie!
 
Mawazo ya kijinga haya. Akina Nyerere na Mandela wamekuwa na mawazo ya kijinga hivi, tungekuwa bado utumwani.
Hujanielewa hao walifanya hayo wakiwa safi. Sasa wewe unaandika against gouvernement huku unafanya uhalifu,unakwepa kodi. Sasa kosa la kutakatisha pesa halina mdhamana. Atajijua. Unaporusha mawe hakikisha upo safi.
 
Pole Kaka jamani kabla ya kufanya upumbavu muwage mnafikiria na watoto wenu. Sasa watoto wanateseka kisa ujuaji wa baba yao. Yaani huyu hana tofauti na Victoire wa Rwanda aliecha familia yake Uholanzi kisa kwenda kumpinga Kagame. If you cant beat them,then join them.
Dah Kina Nyerere na Mkwawa wangewaza hivi pengine Victoire wa Tanzania angekuwa utumwani huko Oman kwa sasa analima mashamba ya zile za kufuturia sijui zinaitwaje! nimekumbuka zinaitwa tende
 
Back
Top Bottom