Tena wakiwa na mitutu zaidi ya saba wakati kamtu kenyewe ni kamoja tena hakana silaha yoyote. Halafu kesi si ilikuwa uhamiaji? Mara hii imeenda polisi tena kwa mashitaka tofauti kabisa na yale tuliyoambiwa ni ya kichocheziHawa watu are so stupid
Kukwepa kodi, polisi ndiyo wanakwenda kumkamata kwa kuvizia na kuzima simu zake
Hopeless Kabisa hii mikitu
Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
Pole Kaka jamani kabla ya kufanya upumbavu muwage mnafikiria na watoto wenu. Sasa watoto wanateseka kisa ujuaji wa baba yao. Yaani huyu hana tofauti na Victoire wa Rwanda aliecha familia yake Uholanzi kisa kwenda kumpinga Kagame. If you cant beat them,then join them.
Uzuri ni kwamba kila nafsi ita kufa tu.
Tamba, piga, uwa, nyang'anya,dhulumu, ikifika siku lazima uende.
Mkuu samahani, kwahiyo kwa kusema hivi ina maana una taarifa zote za uchunguzi wa hiyo kesi, au ulitaka kila hatua ya uchunguzi wa makosa ya huyo mtu iwe inawekwa public.?Chifu hatukatai hilo usemalo,lakini tukumbuke miaka iyo yote ya nyuma walikuwa wapi,alichokamatiwa mwanzo walisema ni Uraia mambosasa alipotudhibitishia sasa hili la ukatishaji na hilo genge la uhalifu linakujaje hapo na hilo genge hao waliokuwa wanashirikiana nao wako wapi ?
Unakumbuka baada ya kutekwa (hadi watu walipopiga kelele ndipo tukaambiwa wamemkamata) kuwa walisema kuwa kosa lake ni utata wa uraia? Sasa iweje tena makosa yamebadilika?Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
Haki ipi?
Acheni kuterrorize watu
Kilio cha mwenzako leo kigeuke kilio chako na ukoo wako hadithi kiama
Huna utu roho mbaya kama chuma cha pua
Unafaidika nini na kuumiza roho za watu
Ushahidi wa transactions my foot
Ninyi mmeibia wananchi kiasi gani?
Pathetic unbelievable!
Yana mwisho hata!
Stay strong Kabendera You will win thia....
The whole world is watching
Hujui kwanini huyu yuko hai mpaka leo na bila shaka hujui kwanini Lwajabe " alijinyonga "Kwani wangetaka wangeshindwa?
Inaonekana huna unachojua kamanda.
Hujanielewa hao walifanya hayo wakiwa safi. Sasa wewe unaandika against gouvernement huku unafanya uhalifu,unakwepa kodi. Sasa kosa la kutakatisha pesa halina mdhamana. Atajijua. Unaporusha mawe hakikisha upo safi.Mawazo ya kijinga haya. Akina Nyerere na Mandela wamekuwa na mawazo ya kijinga hivi, tungekuwa bado utumwani.
Dah Kina Nyerere na Mkwawa wangewaza hivi pengine Victoire wa Tanzania angekuwa utumwani huko Oman kwa sasa analima mashamba ya zile za kufuturia sijui zinaitwaje! nimekumbuka zinaitwa tendePole Kaka jamani kabla ya kufanya upumbavu muwage mnafikiria na watoto wenu. Sasa watoto wanateseka kisa ujuaji wa baba yao. Yaani huyu hana tofauti na Victoire wa Rwanda aliecha familia yake Uholanzi kisa kwenda kumpinga Kagame. If you cant beat them,then join them.
Lisu huyu huyu aliye sema jana mahakama zetu ni useless?Nime mkumbuka Sana lissu laiti angekuwepo yasingetokea haya