Walikuwa wasafi kaka. Sasa wewe unafanya vitu vya kukufanya ustand out,Kumbe at the same time una makando yako. Huyu alikuwa anatakatisha pesa,anafinance uhalifu,halipi kodi alitakiwa atulie tu. Unapofanya kama alivyokuwa anafanya kuandika against JPM,alitakiwa ajianalyse kwanza je yeye yupo safi? Mimi nawahurumia sana watoto wake.Dah Kina Nyerere na Mkwawa wangewaza hivi pengine Victoire wa Tanzania angekuwa utumwani huko Oman kwa sasa analima mashamba ya zile za kufuturia sijui zinaitwaje! nimekumbuka zinaitwa tende
Serikali ya JK iliandikwa vibaya kwa kukosolewa ila ilikuwa na kifua na siyo hii dhaifu! Ukiona mtu hataki kukosolewa basi huyo ni dikteta! Hakuna jina lingine la kumpaUnapoandika against serikali hakikisha upo safi,maana lazima wakutafute kwenye udhaifu wako wakutie nyavuni. Sasa anaandika against Rais,huku yeye mwenyewe anafinance uhalifu,halipi kodi na anatakatisha pesa. Poor him.
Kabisa yaani wao hawajiulizi kwa nini hawakuandamana? Sababu ni hii hii. Huyu alikuwa anaandika against serikali kumbe na yeye ana makando yake. Sasa ataozea rumande maana utakatishaji pesa hauna dhamana.Mange aliwaambieni muandamane mkaogopa saizi mnakimbilia kwenye matusi tu haisaidii kitu.kama umeona utawala wa RAISI wetu mpendwa haukufai hama nchi nenda unakozani kunautawala bora.jidai kimbelembele ukanye debe
Nyerere mwenyewe alihukumiwa kwa uchochezi..Kina Mandela na Kenyata walikula jela miaka 7 tena Kenyata wakati anapelekwa alisindikizwa kwa mayai viza. Kwa kipindi kile walikuwa wachochezi kweli kweli ila leo ni wasafi.Walikuwa wasafi kaka. Sasa wewe unafanya vitu vya kukufanya ustand out,Kumbe at the same time una makando yako. Huyu alikuwa anatakatisha pesa,anafinance uhalifu,halipi kodi alitakiwa atulie tu. Unapofanya kama alivyokuwa anafanya kuandika against JPM,alitakiwa ajianalyse kwanza je yeye yupo safi? Mimi nawahurumia sana watoto wake.
Inaonekana wewe unataarifa zaidi ya hizo tulizopewa!
Lakini haya haya mnayomfanyia Erick... hicho hicho kikombe anachonywea leo... lazima na nyie mkitumie!
Ni suala la muda tu!
Lisu angemtetea kupitia nini sasa kama siyo sheria?Sipo upande wa mahakama nipo upande wa utetezi mkuu
Mwanadamu humtawala mwanadamu mwenzie kwa kumuumiza.
Mfalme wa kweli Mungu tu na ufalme wake utakuja.
Lazima usome alama za nyakati kaka,unless hautajali kama familia yako ikipay matokeo.Hapa sio USA kaka.Mange aliwaambia muandamane wote mkajifungia makwenu why ? Kwa sababu mlifikiria kuhusu familia zenu. Sawa ni Dikteta ila ndo Rais wetu.Kama mpo serious uchaguzi 2020 mtoeni kwa kura.Serikali ya JK iliandikwa vibaya kwa kukosolewa ila ilikuwa na kifua na siyo hii dhaifu! Ukiona mtu hataki kukosolewa basi huyo ni dikteta! Hakuna jina lingine la kumpa
Kelele zimesaidia vinginevyo angeshakutanishwa na Joka lenye kiu watu kama Ben na Azzory wamepotea sababu walikuwa wahanga wa mwanzo watu wengi walikuwa kwenye fungate la utawala wa gywe .... vinginevyo nao wasingepoteaKukosa kumuua huyu wanaumia sana vichwa
Dah Dikteta aliyewahi kushindwa kwenye boksi la kura hajazaliwa na hatozaliwa kamwe. Tena huwa wanashinda kwa kishindo kuliko wale watawala wenye upendo, hekima na haki kwa wote. Dikteta ambaye uchaguzi unaitishwa then apate chini ya asilimia 90 katika utawala wake basi ajiangalie.Lazima usome alama za nyakati kaka,unless hautajali kama familia yako ikipay matokeo.Hapa sio USA kaka.Mange aliwaambia muandamane wote mkajifungia makwenu why ? Kwa sababu mlifikiria kuhusu familia zenu. Sawa ni Dikteta ila ndo Rais wetu.Kama mpo serious uchaguzi 2020 mtoeni kwa kura.
Walikuwa wachochezi kwa dola ya wakoloni. Hiyo ilikuwa then. Sasa huyu angeandika hayo anayoandika na baada ya serching kwake wangemkuta hana makando kando believe me hakuna serikali ingemfungulia kesi. Again nasema kabla haujaamua kustandout jianalyse kwanza.Nyerere mwenyewe alihukumiwa kwa uchochezi..Kina Mandela na Kenyata walikula jela miaka 7 tena Kenyata wakati anapelekwa alisindikizwa kwa mayai viza. Kwa kipindi kile walikuwa wachochezi kweli kweli ila leo ni wasafi.
Hapana ndugu yangu, labda hujanielewa vizuri maana ya kile nilichoandika.
Nilimaanisha ya kuwa mimi na wengine ambao hatuna taarifa kamili kuhusu jambo hili tusiwe wepesi wa kulaumu yale ambayo mahakama inayasema. tusubiri ukweli utajulikana.
Bro mimi ni wakiume, na silaha kubwa sana ambayo imenifanya niweze kuwaongoza vyema walio wa nyumba yangu, ni kuwa na subira na pia kutafuta taarifa kamili ya jambo ambalo liko mbele yangu kabla ya kufanya maamuzi. Inanisaidia sana kuwa na subira na kutokimbiakimbia kutoa maamuzi.
Binafsi siwezi yasemea hayo, kwa maana taarifa za kutekwa hazikutoka kwenye vyombo rasmi vya nchi. Zilikuwa ni hisia tu. Kuanzia hapa, acha tujielekeze vitu ambavyo mahakama kama chombo kimojawapo cha nchi imevitoa.
Kwa huu utawala ukiwa against na ukazidisha basi unapotezwa na au ukikoswa koswa jiandae kwa mashtaka ya uhujumu uchumi.Walikuwa wachochezi kwa dola ya wakoloni. Hiyo ilikuwa then. Sasa huyu angeandika hayo anayoandika na baada ya serching kwake wangemkuta hana makando kando believe me hakuna serikali ingemfungulia kesi. Again nasema kabla haujaamua kustandout jianalyse kwanza.
Ona sasa kamanda ulivomsahaulifu!Nilichogundua kuwa John Magufuli ni Rais dhaifu sana (mara elfu na elfu) zaidi ya Kikwete maana hana kifua. Sasa sisi tulihitaji Rais STRONG zaidi ya Kikwete ambaye ataifanya nchi iwe ya haki na usafi ila siyo tena kuletewa dhaifu mara dufu zaidi. Una lingine? Rais gani ukisikia tu harufu ya mkosoaji unafyatua bunduki?
Unajua kuna ile hata kuiba kura mtu anaona aibu. Wapinzani wangeondoa tofauti zao wakaweka Rais mmoja,mbunge mmoja,diwani mmoja. Mbona CCM watakaa asubuhi tu.Dah Dikteta aliyewahi kushindwa kwenye boksi la kura hajazaliwa na hatozaliwa kamwe. Tena huwa wanashinda kwa kishindo kuliko wale watawala wenye upendo, hekima na haki kwa wote. Dikteta ambaye uchaguzi unaitishwa then apate chini ya asilimia 90 katika utawala wake basi ajiangalie.
Mkuu watamtoaje wakati wanamtegemea Membe?Lazima usome alama za nyakati kaka,unless hautajali kama familia yako ikipay matokeo.Hapa sio USA kaka.Mange aliwaambia muandamane wote mkajifungia makwenu why ? Kwa sababu mlifikiria kuhusu familia zenu. Sawa ni Dikteta ila ndo Rais wetu.Kama mpo serious uchaguzi 2020 mtoeni kwa kura.