Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Walikuwa wasafi kaka. Sasa wewe unafanya vitu vya kukufanya ustand out,Kumbe at the same time una makando yako. Huyu alikuwa anatakatisha pesa,anafinance uhalifu,halipi kodi alitakiwa atulie tu. Unapofanya kama alivyokuwa anafanya kuandika against JPM,alitakiwa ajianalyse kwanza je yeye yupo safi? Mimi nawahurumia sana watoto wake.Dah Kina Nyerere na Mkwawa wangewaza hivi pengine Victoire wa Tanzania angekuwa utumwani huko Oman kwa sasa analima mashamba ya zile za kufuturia sijui zinaitwaje! nimekumbuka zinaitwa tende