Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Dah Kina Nyerere na Mkwawa wangewaza hivi pengine Victoire wa Tanzania angekuwa utumwani huko Oman kwa sasa analima mashamba ya zile za kufuturia sijui zinaitwaje! nimekumbuka zinaitwa tende
Walikuwa wasafi kaka. Sasa wewe unafanya vitu vya kukufanya ustand out,Kumbe at the same time una makando yako. Huyu alikuwa anatakatisha pesa,anafinance uhalifu,halipi kodi alitakiwa atulie tu. Unapofanya kama alivyokuwa anafanya kuandika against JPM,alitakiwa ajianalyse kwanza je yeye yupo safi? Mimi nawahurumia sana watoto wake.
 
Unapoandika against serikali hakikisha upo safi,maana lazima wakutafute kwenye udhaifu wako wakutie nyavuni. Sasa anaandika against Rais,huku yeye mwenyewe anafinance uhalifu,halipi kodi na anatakatisha pesa. Poor him.
Serikali ya JK iliandikwa vibaya kwa kukosolewa ila ilikuwa na kifua na siyo hii dhaifu! Ukiona mtu hataki kukosolewa basi huyo ni dikteta! Hakuna jina lingine la kumpa
 
Mange aliwaambieni muandamane mkaogopa saizi mnakimbilia kwenye matusi tu haisaidii kitu.kama umeona utawala wa RAISI wetu mpendwa haukufai hama nchi nenda unakozani kunautawala bora.jidai kimbelembele ukanye debe
Kabisa yaani wao hawajiulizi kwa nini hawakuandamana? Sababu ni hii hii. Huyu alikuwa anaandika against serikali kumbe na yeye ana makando yake. Sasa ataozea rumande maana utakatishaji pesa hauna dhamana.
 
Walikuwa wasafi kaka. Sasa wewe unafanya vitu vya kukufanya ustand out,Kumbe at the same time una makando yako. Huyu alikuwa anatakatisha pesa,anafinance uhalifu,halipi kodi alitakiwa atulie tu. Unapofanya kama alivyokuwa anafanya kuandika against JPM,alitakiwa ajianalyse kwanza je yeye yupo safi? Mimi nawahurumia sana watoto wake.
Nyerere mwenyewe alihukumiwa kwa uchochezi..Kina Mandela na Kenyata walikula jela miaka 7 tena Kenyata wakati anapelekwa alisindikizwa kwa mayai viza. Kwa kipindi kile walikuwa wachochezi kweli kweli ila leo ni wasafi.
 
Inaonekana wewe unataarifa zaidi ya hizo tulizopewa!
Lakini haya haya mnayomfanyia Erick... hicho hicho kikombe anachonywea leo... lazima na nyie mkitumie!
Ni suala la muda tu!

Hapana ndugu yangu, labda hujanielewa vizuri maana ya kile nilichoandika.
Nilimaanisha ya kuwa mimi na wengine ambao hatuna taarifa kamili kuhusu jambo hili tusiwe wepesi wa kulaumu yale ambayo mahakama inayasema. tusubiri ukweli utajulikana.
Bro mimi ni wakiume, na silaha kubwa sana ambayo imenifanya niweze kuwaongoza vyema walio wa nyumba yangu, ni kuwa na subira na pia kutafuta taarifa kamili ya jambo ambalo liko mbele yangu kabla ya kufanya maamuzi. Inanisaidia sana kuwa na subira na kutokimbiakimbia kutoa maamuzi.
 
Mwanadamu humtawala mwanadamu mwenzie kwa kumuumiza.

Mfalme wa kweli Mungu tu na ufalme wake utakuja.

Hata mungu aliwageuza watu kuwa mawe ya chumvi, lakini walikuwa na haki ya kutumia miili yao, yesu alivunja mabanda ya mifugo wanyama na njiwa wakatokomea,na kumwaga nafaka na watu toka siku hiyo walifirisika na wengine walikosa chakula, haki ni kufata sheria iwe ni mbaya au si nzuri.
 
Serikali ya JK iliandikwa vibaya kwa kukosolewa ila ilikuwa na kifua na siyo hii dhaifu! Ukiona mtu hataki kukosolewa basi huyo ni dikteta! Hakuna jina lingine la kumpa
Lazima usome alama za nyakati kaka,unless hautajali kama familia yako ikipay matokeo.Hapa sio USA kaka.Mange aliwaambia muandamane wote mkajifungia makwenu why ? Kwa sababu mlifikiria kuhusu familia zenu. Sawa ni Dikteta ila ndo Rais wetu.Kama mpo serious uchaguzi 2020 mtoeni kwa kura.
 
Hahaha kila kesi zama hizi haikosi utakatishaji na uhujumu uchumi ili mradi tu wakufunge wafurahi.
Sasa utasikia kesi inahirishwa kila siku eti ushahidi haujakamilika, upelelezi bado unaendelea.
Baada ya miaka kumi utasikia kaachiwa lakini polisi wamemkamata tena kwa mashitaka yale yale, utadhani hawakuwepo wakati kesi inaendeshwa.
Kukomoana tu.
 
Ndio mheshimiwa mwenzangu, hawa waapinzani wote hivi na wewe umepewa amri ya kuhakikisha hawapati dhamana?
 
Lazima usome alama za nyakati kaka,unless hautajali kama familia yako ikipay matokeo.Hapa sio USA kaka.Mange aliwaambia muandamane wote mkajifungia makwenu why ? Kwa sababu mlifikiria kuhusu familia zenu. Sawa ni Dikteta ila ndo Rais wetu.Kama mpo serious uchaguzi 2020 mtoeni kwa kura.
Dah Dikteta aliyewahi kushindwa kwenye boksi la kura hajazaliwa na hatozaliwa kamwe. Tena huwa wanashinda kwa kishindo kuliko wale watawala wenye upendo, hekima na haki kwa wote. Dikteta ambaye uchaguzi unaitishwa then apate chini ya asilimia 90 katika utawala wake basi ajiangalie.
 
Nyerere mwenyewe alihukumiwa kwa uchochezi..Kina Mandela na Kenyata walikula jela miaka 7 tena Kenyata wakati anapelekwa alisindikizwa kwa mayai viza. Kwa kipindi kile walikuwa wachochezi kweli kweli ila leo ni wasafi.
Walikuwa wachochezi kwa dola ya wakoloni. Hiyo ilikuwa then. Sasa huyu angeandika hayo anayoandika na baada ya serching kwake wangemkuta hana makando kando believe me hakuna serikali ingemfungulia kesi. Again nasema kabla haujaamua kustandout jianalyse kwanza.
 
Hapana ndugu yangu, labda hujanielewa vizuri maana ya kile nilichoandika.
Nilimaanisha ya kuwa mimi na wengine ambao hatuna taarifa kamili kuhusu jambo hili tusiwe wepesi wa kulaumu yale ambayo mahakama inayasema. tusubiri ukweli utajulikana.
Bro mimi ni wakiume, na silaha kubwa sana ambayo imenifanya niweze kuwaongoza vyema walio wa nyumba yangu, ni kuwa na subira na pia kutafuta taarifa kamili ya jambo ambalo liko mbele yangu kabla ya kufanya maamuzi. Inanisaidia sana kuwa na subira na kutokimbiakimbia kutoa maamuzi.

Upo sahihi!
Lakini muhimu kwangu ni kujua kuwa natakiwa kupambana na uovu, uonevu, ubaguzi, unyanyasaji na dharau dhidi yangu na dhidi ya wenzangu kwa wakati stahiki!
 
Binafsi siwezi yasemea hayo, kwa maana taarifa za kutekwa hazikutoka kwenye vyombo rasmi vya nchi. Zilikuwa ni hisia tu. Kuanzia hapa, acha tujielekeze vitu ambavyo mahakama kama chombo kimojawapo cha nchi imevitoa.

Kwa hiyo familia yake (akiwemo mama mzazi) walioona akitekwa zilikuwa ni hisia tu?
 
Walikuwa wachochezi kwa dola ya wakoloni. Hiyo ilikuwa then. Sasa huyu angeandika hayo anayoandika na baada ya serching kwake wangemkuta hana makando kando believe me hakuna serikali ingemfungulia kesi. Again nasema kabla haujaamua kustandout jianalyse kwanza.
Kwa huu utawala ukiwa against na ukazidisha basi unapotezwa na au ukikoswa koswa jiandae kwa mashtaka ya uhujumu uchumi.
 
Nilichogundua kuwa John Magufuli ni Rais dhaifu sana (mara elfu na elfu) zaidi ya Kikwete maana hana kifua. Sasa sisi tulihitaji Rais STRONG zaidi ya Kikwete ambaye ataifanya nchi iwe ya haki na usafi ila siyo tena kuletewa dhaifu mara dufu zaidi. Una lingine? Rais gani ukisikia tu harufu ya mkosoaji unafyatua bunduki?
Ona sasa kamanda ulivomsahaulifu!
Umeshasahau Mabomu kule Iringa yaliyomuua mwangosi?
umeshasahau mabomu kule Arusha yaliyoua makamanda kama wanne hivi palepale kwenye mkutano mchana kweupe? umeshasahau risasi iliyojulikana kama kitu chenye ncha kali iliyomuua yule kijana muuza magazeti wakati tukiandamana kule Morogoro?
Mbeya mabomu yalipigwa kwa siku kama tatu hivi hadi JW ikaingilia kati.
Huyu wa sasa hajafanya hata nusu ya hayo. - MAKAMANDA tunasingizia oooh anabunduki, oooh dikteta huku tukiufyata mkia.
Nani DHAIFU hapo huyu JIWE au Sie?
Tuambizane ukweli ili TUPONE.
 
Dah Dikteta aliyewahi kushindwa kwenye boksi la kura hajazaliwa na hatozaliwa kamwe. Tena huwa wanashinda kwa kishindo kuliko wale watawala wenye upendo, hekima na haki kwa wote. Dikteta ambaye uchaguzi unaitishwa then apate chini ya asilimia 90 katika utawala wake basi ajiangalie.
Unajua kuna ile hata kuiba kura mtu anaona aibu. Wapinzani wangeondoa tofauti zao wakaweka Rais mmoja,mbunge mmoja,diwani mmoja. Mbona CCM watakaa asubuhi tu.
 
Lazima usome alama za nyakati kaka,unless hautajali kama familia yako ikipay matokeo.Hapa sio USA kaka.Mange aliwaambia muandamane wote mkajifungia makwenu why ? Kwa sababu mlifikiria kuhusu familia zenu. Sawa ni Dikteta ila ndo Rais wetu.Kama mpo serious uchaguzi 2020 mtoeni kwa kura.
Mkuu watamtoaje wakati wanamtegemea Membe?

Yani hawa watu ni wajinga mno! Kwamba wameacha kuangalia nani wa kupambana na ccm, eti wanamshabikia Membe kupambana na Magu ndani ya ccm [emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa unajiuliza ccm ikimchagua Membe badala ya Magufuli ndio chadema itakuwa imeingia ikulu ama?
 
Back
Top Bottom