UONEVU MKUU DHIDI YA MWANDISHI = ERICK KABENDERA.
"
Mwandishi wa habari nchini Tanzania Erick Kabendera Jumatatu, amepandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka mapya ya uhujumu uchumi baada ya kuzuiliwa na polisi kwa zaidi ya siku saba.
Mashtaka mapya yanamtuhumu kwa kujihusisha na genge la uhalifu na uhujumu uchumi nchini na kukwepa kulipa kodi ya zaidi ya Sh. milioni mia moja za Kitanzania.
Kosa jingine ni la utakatishaji fedha zenye thamani ya zaidi ya Sh. millioni mia moja na sabini.
=================
UPDATE
"
Erick kabendera alikamatwa na police kwa tuhuma za Utata wa uraia wake ambazo zilithibitishwa na serikali kupitia Idara ya uhamiaji.
"
SASA HAYO MAKOSA YA UHUJUMU UCHUMI YAMETOKA WAPI!!!?.
Mnaleta ukakasi kiasi kwamba tunaanza kuamini kitendo cha kukatwa kwake ni Failed Abduction Plan
View attachment 1173315