WEWE NI MSENGEREMA NA MWL MKUU MAMA YAKOKwani alizaliwa peke yake? Lini mshitakiwa aliwahi ruhusiwa kwenda kwenye mazishi? Au hii iwe special kwa huyu, mwandishi habari? Wakulima je? Wafugaji je?
Tusiishie kusikitika, tuepuke kujiingiza kwenye mambo ya kujitakia. Kulikuwa na kila njia ya kuachana na hayo lakini naona alijivunia ushujaa.
Kwanini hawaja kukomoa wewe!Kama huyo mtu anatuhuma za msingi sawa, sio hizo siasa za kishamba na kukomoana. Ni nani asiyejua kuwa Kabendera anakomolewa?
Wewe acha kutukana usije na wewe yakakupata kama ya Kabendera na yeye alikuwa anafanya hivi hivi kwa kificho lakini mwisho wake ndiyo huu alifikiri hawezi patikana. Nawatakao kuuza ni hao rafiki zako ulionao hapo!Huyu bwana magufuli hana tofauti kabisa na Nduli Idd Amin Dadaa. Tuna utawala DHALIMU, KATILI NA WAKISHENZI kabisa, kupata kutokea hapa Tanzania.
wewe B.WE.GE mchumia tumbo achana na mimi, hunijui sikujui. Puumbavu zako.Wewe acha kutukana usije na wewe yakakupata kama ya Kabendera na yeye alikuwa anafanya hivi hivi kwa kificho lakini mwisho wake ndiyo huu alifikiri hawezi patikana. Nawatakao kuuza ni hao rafiki zako ulionao hapo!
Ususani wanapo vunja sheria.
Kuhusu kuruhusiwa nimeshajbu,kuwahi kutokea ni ndiyo.Na huyo wala sio wa mwanzo.Kuna ubaya angepata nafasi iliyoombwa?It doesn’t matter legality is already reasonable to take care of such thinking!
Nimeuliza. Huwainaruhusiwa? Je, imewahi tokea? Au tuanze na huyu anayeonekana ni mtu mashuhuri?
Akina Mzee Mwanakijiji huwa hawaoni huu upande. Wao wanaona mazuri tu...!!Katika utawala huu wa Magufuli, Tanzania imekuwa ni Taifa la kidikteta lisilojali Utu,Haki,Usawa na Sheria kwa raia wake.
Anayotendewa Erick ni zaidi ya Unyama na Ukaburu ulokuwa unafanywa na Makaburu wa enzi za Utawala wa weupe wachache nchini Afrika Kusini.
Mtu kafiwa na mamake mzazi tena kuna uwezekano mkubwa kifo cha mama huyu kitakuwa kimechangiwa na Utawala huuhuu! Huu ni ukatili wa hali ya juu sana.
RIP Mama Mujahwuzi na pole sana Erick! Mungu ndiye atakayekulipia kwa watesi wako.
Ni kweli mimi ni Bwege ila matusi hayasaidii chochote ungekuwa nauwezo ungenifuata ili uje unile nyama kabisa. Pole kunywa maji upunguze stress utakufa mapema. Hapa Kazi Tu. Ukileta cha kuleta unanyolewa bila wembe dogo.wewe B.WE.GE mchumia tumbo achana na mimi, hunijui sikujui. Puumbavu zako.
Alichoifanyia TZ huyu mwandishi wa habari ingekuwa nchi nyingine angeshanyongwa siku nyingi. Kupokea pesa kutoka nje ya nchi na kuzigawa kama njugu kwa watu wenye uwezo wa kutoa matusi mazito kwa serikali na kiongozi wake mkuu ni uhaini tosha.Mi siamini Kama tuko Tanzania isije ikawa katika dunia kukimbia kwa kasi kwenye mzingo wake tumetupwa rwanda bila kujua.
Hizo kesi zingekuwa halali ushahid ungeshakamilika kitambo.Eti mwaka Wa tano sasa ushahidi haujakamilika utadhani umefatwa mwezini.Wao wameshawakamata kwa kesi walizowapa si wawahukumu basi.Maana hata kutowahukumu ni uvunjifu Wa haki za binadamuhaki za msingi ndio zipi zinazolindwa ukiwa jela?
hata kuzaa ni haki ya msingi
Kabendera aachiwe akazae kisha arudi?
Huyu mwandishi kafanyiwa dhulma, na hayuko peke yake, lakini kuachiwa kwenda kuzika huwa hakuna anaepewa fursa hiyo
mimi natetea usawa hata kwenye kuonewa, tuonewe kwa usawa
unamuachia Kabendera kwani Rugemarila hajafiwa? Namtumia Rugemarila kama mfano wa prominent detainee, na sijui kama kafiwa lakini tunajuaje hajafiwa na mama, mke, mtoto, kaka, kipindi chote hiki ????
yani mahabusu woooote waliotiwa kizuizini awamu hii kwa kesi za dhulma hakuna aliyefiwa na mamaake?
hivi nyinyi hamna ndugu walioko humu majela ya Tanzania, hamuwaulizi? hamuwatembelei wakawaambia?
Pole pole mpaka atanyooka tu na vibaraka wenziye waliokuwa wanapata viposho hata hapa JF wapo sasa naona wanaumia hawapati vijiaenti vyao.Alichoifanyia TZ huyu mwandishi wa habari ingekuwa nchi nyingine angeshanyongwa siku nyingi. Kupokea pesa kutoka nje ya nchi na kuzigawa kama njugu kwa watu wenye uwezo wa kutoa matusi mazito kwa serikali na kiongozi wake mkuu ni uhaini tosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani dhamana iliwekwa kwa ajili ya wafungwa au watuhumiwa? Tumia akili kidogo boss!Shida ipo kwenye sheria hiyo mbovu iliyotungwa kwa Marengo mahsusi,eti una mnyimaje mtu dhamana kwa makosa ambayo hayajadhibitika kisheria?haya Leo mmemnyima dhamana mwisho wa kesi mahakama inakuja kumuona Hana hatia na kamwachia huru hilo litakuwaje? Itoshe kusema Bunge ifike mahali wabadilishe au waondoe sheria hizi Leo kwa kabendera na wengine,kesho kwao
Kama aliweza kumuomba DPP awasamehe wahujumu uchumi ambao wapo tayari kurudisha hela, anaweza pia kusema inatosha pia kwa wale ambao ushahidi wa kesi zao aukamiliki waachiwe.Mnakurupuka sana
Magu ndie Hakimu
Huyo tu ndie alalie fiwa tu kwa wote waliopo Magerezani?
Yes one day yes!! All wasiliti will be fixed!
Hivi unafahamu ni kina nani walikuwa wakimtumia hizo pesa za kugawia watu wataalamu wa kumtusi mkuu wa nchi? Lazima wamtetee na wamwonee huruma japo hawawezi kuingilia sheria za.TZ. Kwani kina ZZK waliokuwa wanamchagisha wako wapi?Nimewaza hivi, niko upande wa Erick na sipendi jinsi watu wanavyobambikiwa kesi ili kuwakomoa lakini anajua hasa nini alikuwa anakifanya, labda nia yake ilikuwa nzuri lakini alivyofanya haikuwa yenye kupendeza. Yeye mwenyewe anajua hatari iliyokuwa inaweza kumkabili na hata mtakumbuka siku aliyochukuliwa kwake, ukweli alikuwa anapotea ila alikuwa 'amejiandaa' ndio mpaka leo yupo.
Mnakumbuka vifo vya maafisa kama wa Wizara ya mambo ya nje kitengo Misaada kutoka EU? Walikufa ndani muda mfupi sana?
Na mmeona jinsi wanachama wa EU na US kupitia balozi zao wanavyolifatilia kwa umakini hii suala la mashtaka dhidi ya Erick na hata kuonyesha Sympathy kwa msiba wa mama yake?
Nimewaza tu
huko baadae nadhani tutashtakiana sana