Wewe unapoteza muda kuzungumzia misiba> KUna watu wameugua wenyewe na hawakuruhusiwa kwenda kutibiwa. Tunajidai kujali sana mazishi ya wazazi na ndugu, wakati hatuwasaidii wakiwa hai!!Nakuombea siku uko ndani gerezani, mama yako au baba yako wanafariki, na usiruhusiwe kwenda kuwaaga.
Sent using Unataka kujua ili iweje
Yap nilikuwa nasubiri maelezo haya. Mijadala mingi humu watu wenye nia zao huwa wanajitahidi kuwasahaulisha watu mlolongo wa matukio ili kufanya uhalali wa kinachotokea kwa wakati wa sasa. Wanajua wengi husahau baada ya muda kupita.Kama huyo mtu anatuhuma za msingi sawa, sio hizo siasa za kishamba na kukomoana. Ni nani asiyejua kuwa Kabendera anakomolewa?
Una uthibitisho wowote mkuu au umewasikia watu wakisema!!Wanatenda sana, ila haya ni ya kubambikizia fullstop.
Haitatokea, sababu watu wote sio wajinga kama wewe!Natoa rai kwa kila mwanakagera 2020 bwana yule tusimpe na wawakilishi wote wa CCM wa ngazi za udiwani na ubunge waende na maji. Namchukia sana..I can't express my hatred into words.
Wewe mbona unatete mabwana zako pia?Shetani mkubwa wewe! Yaani unaongea ushenzi kwa sababu tu ya kutetea mabwana zako waliopo kwenye mamlaka?! Kima wewe.
Matusi yote kisa tu kabendera anakukuna vizuri! Jinga sana wewe, kabendera bwana wako?Narudia, wewe ni shetani! Na hao unaowaabudu kuliko wazazi wako ipo siku watakupiga hadi vidole vya mku.ndu na utabaki kuchekelea na kuwakatikia zaidi, shetani mkubwa wewe!!
Angekuwa anampenda sana mama yake basi asingefanya uhalifu!Mwenyezi Mungu akupe nguvu kabendera. Mungu atakutetea Mama yako kufariki dah pole Sana. Polesana inaumaa kunyimwa ruhusa ya kumuaga mtu ambae kakubeba tumboni ,kakuleta duniani then anaondoka bila hata kumuona dah!!!!!! Hhuuuu!!!! Pole Sanaa Mungu akuteteee kabendera
Najaribu kuvaa viatu vya kabendera aiseeee I reserve my comments...!Mwenyezi Mungu akupe nguvu kabendera. Mungu atakutetea Mama yako kufariki dah pole Sana. Polesana inaumaa kunyimwa ruhusa ya kumuaga mtu ambae kakubeba tumboni ,kakuleta duniani then anaondoka bila hata kumuona dah!!!!!! Hhuuuu!!!! Pole Sanaa Mungu akuteteee kabendera