Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

Nakuombea siku uko ndani gerezani, mama yako au baba yako wanafariki, na usiruhusiwe kwenda kuwaaga.

Sent using Unataka kujua ili iweje
Wewe unapoteza muda kuzungumzia misiba> KUna watu wameugua wenyewe na hawakuruhusiwa kwenda kutibiwa. Tunajidai kujali sana mazishi ya wazazi na ndugu, wakati hatuwasaidii wakiwa hai!!
 
Kama huyo mtu anatuhuma za msingi sawa, sio hizo siasa za kishamba na kukomoana. Ni nani asiyejua kuwa Kabendera anakomolewa?
Yap nilikuwa nasubiri maelezo haya. Mijadala mingi humu watu wenye nia zao huwa wanajitahidi kuwasahaulisha watu mlolongo wa matukio ili kufanya uhalali wa kinachotokea kwa wakati wa sasa. Wanajua wengi husahau baada ya muda kupita.
 
@zalendo2015,
Mwenyezi Mungu akupe nguvu kabendera. Mungu atakutetea Mama yako kufariki dah pole Sana. Polesana inaumaa kunyimwa ruhusa ya kumuaga mtu ambae kakubeba tumboni ,kakuleta duniani then anaondoka bila hata kumuona dah!!!!!! Hhuuuu!!!! Pole Sanaa Mungu akuteteee kabendera
 
Kwanza nianze kwa kutoa pole kwa familia nzima ya kina Kabendera kwa kuondokewa na mpendwa wao kwa sisi tunaoifahamu familia hii juu juu tunaweza kusema mama Kabendera.

Kutokana na hili sakata la Kabendera linavyoendeshwa limechukua sura tofauti tofauti kuna wanao sena kuwa aachiwe aende akazike na kuna wanao sema kuwa sheria ichukue mkondo wake.

Swali, Kwani kesi ya uhujumu uchumi yani utakatishaji fedha inasemaje? Hapa wataalamu wa mambo haya mtueleze.

HITIMISHO
Kama sheria hairuhusu kwenda kuungana na ndugu basi afate kile sheria inasema na sio kuanza kutafuta huruma mbele ya mahakama wakati kuna watu scenario kama hizo zinawakuta watu wengi Sana ila wenyewe tu wanatulia tu au kwa vile wanakuwa hawajulikani wapo upande gani.

Na kama sheria inaruhusu aende kuungana na familia basi wamwachie aende akaungane nao.

My take
Hili jambo la kushirikananai wanasiasa wa kitanzania halafu mwisho wa siku wanakuacha solemba liwe kama fundisho maana tumeona kwa Kabendera, utapata tabu wewe pamoja na familia yako ila wenyewe maisha yao yanenda tu na wanakuona kama kituko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabendera in his good time, used to throw arrows to others. Now his victims are hitting back; throwing arrows back to him... He should not be afraid to eat the fruit he picked from a tree. Even if they are poisonous fruits...
Mkuki kwa nguruwe. Kwa binadamu mchungu...
 
Mwenyezi Mungu akupe nguvu kabendera. Mungu atakutetea Mama yako kufariki dah pole Sana. Polesana inaumaa kunyimwa ruhusa ya kumuaga mtu ambae kakubeba tumboni ,kakuleta duniani then anaondoka bila hata kumuona dah!!!!!! Hhuuuu!!!! Pole Sanaa Mungu akuteteee kabendera
Angekuwa anampenda sana mama yake basi asingefanya uhalifu!
Ikumbukwe sijawahi na sitawahi kumuonea huruma mhalifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No PERMISSION
Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu imekubali pingamizi la upande wa mashtaka la kumzuia mwanahabari Erick Kabendera kuhudhuria mazishi ya mama yake mzazi, Bi.Verdiana Mwahuzi, yatakayofanyika hapo kesho.

Awali upande wa utetezi uliomba Mahakama kutoa ruhusa kwa Kabendera kumuaga mama yake aliyefariki Disemba 31, lakini Wakili wa serikali Wankyo Simon amesemahoja zilizowasilishwa hazina mashiko na kuiomba Mahakama kutupilia mbali maombi hayo.

Pia Wankyo ameeleza kuwa mahakama hiyo haina mamlaka ya kumpa ruhusa Kabendera, bali mamlaka hiyo ni ya DPP, na DPP hajatoa ruhusa. Hivyo mama yake Kabendera atazikwa bila uwepo wa mwanae.!
 
Mwenyezi Mungu akupe nguvu kabendera. Mungu atakutetea Mama yako kufariki dah pole Sana. Polesana inaumaa kunyimwa ruhusa ya kumuaga mtu ambae kakubeba tumboni ,kakuleta duniani then anaondoka bila hata kumuona dah!!!!!! Hhuuuu!!!! Pole Sanaa Mungu akuteteee kabendera
Najaribu kuvaa viatu vya kabendera aiseeee I reserve my comments...!
 
pamoja Santa,
Umesema kweli! Maana kabendera imekuwa nikila siku! Kuna watu wengi tena wanakesi zenye unafuu kuliko ya kabendera, lakini hawajapiganiwa na wanasiasa wala vyombo vya habari!
Hii maanake nikwamba kabendera alikuwa na genge linalomtumia kumwambia NYOSHA MKONO UISONTE SERIKARI HARAFU WAO WANATUKANA ila wanakulipa,. Kumbuka kuwa unaemtukana anaangalia kule sauti inakotoka anakutana na mkono wa KABENDERA.

Huyu alietumia mkono wako kukuambia wewe kazi yako nikusonta tu! anakausha harafu jamaa anakufuata wewe unakula kibano.

Mambo haya tulifanyiwa na kaka zetu tukiwa wadogo anakwambia msonte yule harafu yy analitukana jamaa baadae ww ndo unakula mabanzi.

Zaidi yahapo nikama zambi ya usariti aliyofanya yuda iskariote kumsariti yesu hata alipoambiwa na bwana yesu kuwa ameamua kumsariti kwa vipande 30 vya fedha yuda yuda alipuuzia akatimiza azima yake ila baada yakumuona yesu anahangaika msarabani alivitupa vile vipande vya fedha lkn alikuwa amechetewa tayari ,hiinikama Kabendera alionywa sana hata mh rais aliwahi kuwaonya waandishi km yeye lakini hawakujari hivyo kutafuta huruma muda huu Mr Kabendera haitamsaidia, nahii yawezekana amesababisha hata kifo cha mama yke mwenyewe nikama yuda alivyosababisha kifo chake mwenyewe.

SIKU ZOTE MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI NA MAJUTO NI MJUKUU HAO wanasiasa walikutumia km kondom hili litakuwa fundisho kwa watu wengine.
 
Back
Top Bottom