Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

K yeye ni mtuhumiwa tu, sio mkosaji, wewe unafanansha aliyehukumiwa na mahabusu
 
Jamaa anazingua sana Hujui Kabendera ni innocent until proven guilty
 
Hizo sheria zinazobadlika unazisema za nyumban kwenu au?
Kama jambo hulielewi bora ukae kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria sio msahafu ukiwa huru pigania mabadiliko ili siku usipokuwa huru ufurahie mabadiliko hayo.Sawa na leo lowasa na sumaye wanaona umuhimu wa katiba mpya ni baada ya kuwa nje ya mfumo hali wangewezaibadili walipokuwa kwenye mfumo.
 
Assume kesi kusikilizwa akaibwaga serikali kuwa hakuwa na hatia
 
Acha uchizi wewe!
Nani alikudanganya sheria ni sawa na msahafu? Sheria zinatungwa na wanadamu na jamii inapo ona sheria kandamizi kama hizi ni kuzifyekelea mbali!
Sheria ya uhujumu uchumi ni fimbo itumikayo na watawala wasiotenda haki kuinyamazisha jamii isikosoe madhaifu yao.
 
Assume kesi ikaja kusikilizwa akaibwaga serikali kuwa hakuwa na hatia na tayari mama keshafariki.
Tambua Ni mtuhumiwa bado
 
Hayajakukuta Kaka,..yakikukuta hutoyakumbuka maneno haya..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usiandike ili uonekana ya kuwa na ww umeandika rudi nyuma tangia awamu ya kwanza hadi ya nne na unitajie mahabusu m1 tu aliyerusiwa kutoka magereza kwenda kuhudhuria msiba wa mama, baba, mke au mtoto wake.

Au tangia tupate uhuru hakuna mahabusu aliyefiwa na wazazi wake? Hata kwa nchi tunazozisifia kuwa zina demokrasi hakuna mahabusu ambae kesi yake ni unbaillable ambae amewahi kutolewa magereza na kwenda kuhudhuria mazishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupel
Pole sana Kibendera, wote tunalipa kama tukitenda uovu na siyo wewe tu, Dunia iko hivyo, C’ est la vie!
Kitu gani kinasababisha upelelezi kutokukamilika?.
Kama kweli waliona makosa kwake,kwa Nini wasioneshe ushahidi usio na Shaka ili kijana ahukumiwe?.
Kuna Nini kinachowazungusha upelelezi haujakamilika?.
Au walimkamata kimakosa?.
Mkuu wa majaji,Roho wa Mungu akuongoze usimamie hili,mtu akikamatwa tia miezi miwili au mitatu, upelelezi Kama Bado tupilia mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…