Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi


Kama huyo mtu anatuhuma za msingi sawa, sio hizo siasa za kishamba na kukomoana. Ni nani asiyejua kuwa Kabendera anakomolewa?
 
Hizo sheria zinazobadlika unazisema za nyumban kwenu au?
Kama jambo hulielewi bora ukae kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
Unawezavipi jitofautisha kati ya civilized and educated society and uncivilized and uneducated society kama unamiliki sheria zilizopitwa na wakati.
Unamshikilia mtu miaka 7 ushahidi haujakamilika then hukumu inatoka alipe fine laki 5,nini hii,hio miaka 7 hizo gharama za kumtunza kwa miaka 7 si zimezidi hio laki 5 pia huyu mtu angechangia ngapi kuinuia uchumi si zaidi ya hio laki 5?.Thus haya mambo kwenye modern na civilized society huwezi yakuta.
 
Sikuona sababu ya haya maombi.
huku ni kuonyesha unyonge kama mwanzo mama yake alipoonyesha unyonge kuom,ba msamaha wakatio ni jambo la kisheria.
ukwlei ni kuw akesi ipo mahakamni basi wapambane huko huko hakuna sababu ya kutafuta huruma.
hata kama ni ya kubambikia, apige moyo konde apapambane.
 
Akome kiranga ,wako wapi wale waliomtumia na kumvimbisha kichwa?,

Vijana msicheze na Dola
Sent using Jamii Forums mobile app
 


Sijui!
 
huyu mtu ni mshitakiwa mama yake akizikwa hatapata tena nafasi ya kumuona zaidi ya kutembelea kaburi lake ni vema aruhusiwe apate nafasi ya mwisho kutoa heshima kwa mama yake hakuna mtu ajuaye kesho yake
 
Umeshasema mshtakiwa kwa maana bado hajakutwa na hatia.
Vipi ikitokea akaachiwa huru kwa kukosekana ushahidi wa kumtia hatiani.
Usiwe unajitoa ufaham tu mwenzio amefiwa na bi mkubwa wake!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo atolewe mahabusu akafanye mambo ya jamii? Je ilishawahi kutokea nchini au Kabendera ni special?
 
Once a fool always a fool, may the pit of hell open up and shallow you and your jiwe
 
Mungu akubariki na akupe maisha marefu, umeongea ukweli mtupu, shukurani kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…