Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

Kabendera in his good time, used to throw arrows to others. Now his victims are hitting back; throwing arrows back to him... He should not be afraid to eat the fruit he picked from a tree. Even if they are poisonous fruits...
Mkuki kwa nguruwe. Kwa binadamu mchungu...

..kwani Kabendera alikuwa akiwabambikia watu keso za uhujumu uchumi, kiasi kwamba leo iwe halali kulipiziwa na aliopata kuwatesa?

..Kabendera ni muandishi, anatumia kalamu. Kwa msingi huo yeyote anayetatizwa au kuchukizwa na anayoandika Kabendera anapaswa kumjibu au kumpinga kwa kalamu.
 
Sheria inasema mshitakiwa wa kesi ya uhujumu hana dhamana.

Ili uwe mshitakiwa na kuwekwa mahabusu lazima kuwe na ushahidi wa makosa yako

Jukumu la mahakama ni kuamua kesi kutokana na ushahidi.

Mtu anapelekwa mahakamani hakuna ushahidi

Jaji mkuu badala ya kuamuru kesi zisizo kamilika ushahidi zifutwe kwa mamlaka yake, yeye ndio anambelezana na DPP akiweka wazi huo utaratibu sio sahihi kisheria; huko nikupoteza dhana nzima ya judiciary independence.

Halafu kuna tatizo la wanasheria badala ya kukataa rufaa mpaka mahakama za juu uhalali wa hiyo sheria inayosema mtu ashikiliwe bila ya ushahidi kwa misingi ya uvunjifu wa haki na katiba ya nchi wao wako happy kubuluzwa na wanasheria wa serikari ambao hawana rekodi ya kushinda kesi nje ya nchi.

South Africa awakushinda kesi, isipokuwa kulikuwa hakuna jurisdiction tu; tells you uwezo wao.

Kwa hiyo for the most part wakulaumiwa kwa mahabusu ambao kesi zao mpaka leo hazina ushahidi uliokamilika ni wanasheria wanaosomamia hao wateja, simple as that.
 
Nawaza Erick huko aliko peke ake mahabusu
Huu usiku ni mchungu Sana kuliko hata usiku wa siku yake ya kwanza mahabusu
Mpaka nimewaza kwanini tu na yeye asimfate mama yake..Mungu anisamehe naweza nikawa nakufuru
Waza pia alipo kuwa anatenda uhalifu. Siyo mtu mwema. China au Marekani ange kuwa kesha hukumiwa kazi ngumu.
 
Yani kuna watanzania in wajinga sana hivi Leo hii USA au UK ikitaka Tanzania iwe down ni kitu cha sekunde,sasa hayo mataifa yatumie watu kudhoofisha nchi ili iweje??

Kuna nchi kama Russia,china, Irani ndio nchi za magharibi zinaweza tumia watu kudhoofisha utawala uliopo.

Sasa kwa nchi za kiafrika kama Tanzania ambao vidonge vya watu wetu tunasubiri kupewa ndio tuwaangaishe hao mabeberu.kweli???
Wewe unazani akili ya Sasa ya pole pole ni sawa Naya zamani? Yaani ameshakuwa na akili Kama za baba na wanae kina Bashite,Sabaya and the like. Only in Tanzania ambapo kiongozi anajinasibu kukusanya mapato makubwa halafu anayatumia kununua wapinzani wake kisiasa.
 
January 2, 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Simanzi kubwa imetokea ndani ya familia ya marehemu mama Verdiana Mujwahuzi kuelekea maziko yake yatakayo fanyika huko Bukoba, Kagera.

Hii imetokana na familia hiyo kukumbwa na matukio mawili makubwa ktk kipindi kifupi.

Kwanza mama Verdiana Muhjwahuzi Kabendera amefariki na pia mtoto wake wa mwisho kitindamimba aliye mahabusu kwa kutuhumiwa kwa makosa kadhaa kushindwa kuruhusiwa kutoka mahabusu ili aweze kumuaga bi mkubwa wake Mama Verdiana Mujwahuzi kabla ya mazishi.

Ndugu na marafiki walionekana wakitoka mahakamani wakiwa na uchungu mkubwa huku wengine wakibubujikwa machozi baada ya kusikia kuwa mdogo wao na jamaa yao hataweza kuungana nao kumuaga Mama yao kwa mara ya mwisho.



Source: MwanaHALISI TV
 
02 January 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Mtoto wa Marehemu Verdiana Mujwahuzi akiwa amezungukwa na ndugu na jamaa ambaye leo alifikishwa tena mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na kesi yenye tuhuma za makosa mbalimbali
 
Kabendera anavuna alichopanda
Mama yake aliwahi kumwambia,''Mwanangu acha!'' Lakini hakumsikiliza bibi kizee yule,matokeo yake mama amekufa kwa kukosa dawa,huku akishindwa kumzika
 
Matusi yote kisa tu kabendera anakukuna vizuri! Jinga sana wewe, kabendera bwana wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mbona unatete mabwana zako pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Dadangu wewe si ndo uliletaga uzi hapa kwamba mumeo huwa huwa anakuingilia kinyume na maumbile kwa lazima wakati mwenyewe hutaki?! Nilikushauri hapa kwamba nenda kamshitaki kwenye dawati la kijinsia kabla hujaanza kufurahia huo mchezo lakini inavyoelekea hivi sasa umeshazoea na matokeo yake ndo hayo; unarukia rukia kila mwanaume huku ukitarajia kila mtu anapenda huo uchafu!!

Tafuta mabasha wengine, mie sio mfi'raji!! Tena chunga sana, kwavile inaonekana umeshazoea tayari kuingiliwa kinyume na maumbile, basi kazi yako ndo itabaki kurukia rukia mabwana tu mwisho utaamua kununua dildo baada ya kuwa umeshaharibiwa na hakuna anayekutaka!
 
Kwa hiyo for the most part wakulaumiwa kwa mahabusu ambao kesi zao mpaka leo hazina ushahidi uliokamilika ni wanasheria wanaosomamia hao wateja, simple as that.
Unaongelea sheria wakati huna lolote ujualo kuhusu sheria
Wewe na kambole au kibatali nani anajua sheria?
Kutokushinda kesi nje ya nchi haimaanishi kuwa wewe ni mwanasheria mbovu
 
Imagine, kama mahabusu wote wangeruhusiwa kuhudhuria mazishi, kipa imara, arobaini, kubatizwa, kuchezwa, harusi, n. k. Za wapendwa na jamaa zao, bila kukataliwa!
Kwani kila mahabusu huwa anapewa dhamana kisa tu kesi yake ina dhamana hata kama hakuomba(kuombewa dhamana)?! Man, msichanganye mambo! Kitu huridhiwa baada ya kuombwa; so huwezi kusema "mahabusu wote" wakati hawakuomba! Back in the days kuna ndugu yangu alipata mitihani akafungwa Segerea. Ikawa kila baada ya muda, tunaenda pale Segerea na mfungwa wetu anajaza WDL Slips za Bank, na kuidhinishwa akaunti yake itolewe kiasi fulani cha pesa! Baada ya hapo, Askari Magereza anaenda benki na zile docs, na pesa inatolewa! Je, wafungwa wote wanafanya hicho kitu?! Au unataka kusema huyu alikuwa anapendelewa?

Kwa upande mwingine, ndo maana watu huwa wana mawakili wa kuwasaidia hili na lile! Hao mahabusu wengine unaowataja wana haki zao nyingi tu huwa zinavunjwa kwa sababu hawana mawakili nyuma yao! Nne, moja ya vigezo vya dhamana ni kuaminika kwa mhusika! Hivi kweli kuna anayeamini kwamba Erick Kabendera angeweza kutoroka?! Sasa hao "mahabusu wote" unaowasema kila mmoja ana hulka yake, na majority hawana hata physical address!!
 
Back
Top Bottom