Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabendera in his good time, used to throw arrows to others. Now his victims are hitting back; throwing arrows back to him... He should not be afraid to eat the fruit he picked from a tree. Even if they are poisonous fruits...
Mkuki kwa nguruwe. Kwa binadamu mchungu...
Duh.Naona vimada wamekula Kona anahangaika pekeyake
Kuna kitu haujaelewa badoKwa hiyo kosa sio uhujumu uchumi??
Ni visasi
Samahani Lwajabe n nani nisaidie nipate kujua ndugu:•Usishadadie vitu usivyo vijua, Kabendera anapata misukosuko kwasababu ya nyaraka alizopewa na marehemu Lwajabe kabla ya umauti haujamkuta
Mbona kuna mabaya mengi tu watu wanaandika na sijawabishia... siyo lazima kila mtu aandike ndio vitu viwe vinakubalika.Mkuu issue yangu siyo ruhusa ya kwenda kwenye mazishi. Nilichikuwa najaribu kusema.... Umeandika mengi mazuri ya awamu Hii. Je, yote ya awamu Hii ni mazuri tu.....!!?
Waza pia alipo kuwa anatenda uhalifu. Siyo mtu mwema. China au Marekani ange kuwa kesha hukumiwa kazi ngumu.Nawaza Erick huko aliko peke ake mahabusu
Huu usiku ni mchungu Sana kuliko hata usiku wa siku yake ya kwanza mahabusu
Mpaka nimewaza kwanini tu na yeye asimfate mama yake..Mungu anisamehe naweza nikawa nakufuru
Mbona unaingilia mahakama?
Kweli Kabendera ameanza kulipwa hapa hapa. Mpaka ameugua na sasa kampoteza mama yake. Ndiyo malipo hapa hapa.Unyama wa hali ya juu kabisa. Watalipwa hapa hapa!
Ninyi ndio walewaleKweli Kabendera ameanza kulipwa hapa hapa. Mpaka ameugua na sasa kampoteza mama yake. Ndiyo malipo hapa hapa.
Wewe unazani akili ya Sasa ya pole pole ni sawa Naya zamani? Yaani ameshakuwa na akili Kama za baba na wanae kina Bashite,Sabaya and the like. Only in Tanzania ambapo kiongozi anajinasibu kukusanya mapato makubwa halafu anayatumia kununua wapinzani wake kisiasa.Yani kuna watanzania in wajinga sana hivi Leo hii USA au UK ikitaka Tanzania iwe down ni kitu cha sekunde,sasa hayo mataifa yatumie watu kudhoofisha nchi ili iweje??
Kuna nchi kama Russia,china, Irani ndio nchi za magharibi zinaweza tumia watu kudhoofisha utawala uliopo.
Sasa kwa nchi za kiafrika kama Tanzania ambao vidonge vya watu wetu tunasubiri kupewa ndio tuwaangaishe hao mabeberu.kweli???
Basi mwenyewe unaona SifaKweli Kabendera ameanza kulipwa hapa hapa. Mpaka ameugua na sasa kampoteza mama yake. Ndiyo malipo hapa hapa.
Matusi yote kisa tu kabendera anakukuna vizuri! Jinga sana wewe, kabendera bwana wako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dadangu wewe si ndo uliletaga uzi hapa kwamba mumeo huwa huwa anakuingilia kinyume na maumbile kwa lazima wakati mwenyewe hutaki?! Nilikushauri hapa kwamba nenda kamshitaki kwenye dawati la kijinsia kabla hujaanza kufurahia huo mchezo lakini inavyoelekea hivi sasa umeshazoea na matokeo yake ndo hayo; unarukia rukia kila mwanaume huku ukitarajia kila mtu anapenda huo uchafu!!
Unaongelea sheria wakati huna lolote ujualo kuhusu sheriaKwa hiyo for the most part wakulaumiwa kwa mahabusu ambao kesi zao mpaka leo hazina ushahidi uliokamilika ni wanasheria wanaosomamia hao wateja, simple as that.
Kwani kila mahabusu huwa anapewa dhamana kisa tu kesi yake ina dhamana hata kama hakuomba(kuombewa dhamana)?! Man, msichanganye mambo! Kitu huridhiwa baada ya kuombwa; so huwezi kusema "mahabusu wote" wakati hawakuomba! Back in the days kuna ndugu yangu alipata mitihani akafungwa Segerea. Ikawa kila baada ya muda, tunaenda pale Segerea na mfungwa wetu anajaza WDL Slips za Bank, na kuidhinishwa akaunti yake itolewe kiasi fulani cha pesa! Baada ya hapo, Askari Magereza anaenda benki na zile docs, na pesa inatolewa! Je, wafungwa wote wanafanya hicho kitu?! Au unataka kusema huyu alikuwa anapendelewa?Imagine, kama mahabusu wote wangeruhusiwa kuhudhuria mazishi, kipa imara, arobaini, kubatizwa, kuchezwa, harusi, n. k. Za wapendwa na jamaa zao, bila kukataliwa!