Hivi kuna mtu anaweza kuniambia hapa kwanini
Ajabu nyingine na inayowafanya niwacheke ni pale mnapodhani nyie ndo mpo salama zaidi kwavile ni wapiga makofi! Amini amini nawaambia: Aliye salama nchi hii kwa sasa ni Magufuli mwenyewe TU na familia yake! Hata huyo Bashite ngoja aache kuimba nyimbo za mapambio kama suala la "Dad's son" litaendelea kwake!!
Yaani unafurahia!! Yaani watu aina yako mnaona mtu kama Kabendera ndo adui mkubwa sana kwako kuliko ma-CCM yanayoibia nchi!!! Yaani mtu kama Kabendera ni adui mkubwa kwenu kuliko Bashite ambae anatumika na wafanyabiashara kukwepa kodi! Yaani mtu kama Kabendera mnaamini ni adui mkubwa kwenu kisa tu kuandika Utawala wa Magufuli ni wa Kidikteta lakini kwenu Magufuli anayewaachia wabakaji na walawiti watoto kwenu ndo the hero!Kweli Kabendera ameanza kulipwa hapa hapa. Mpaka ameugua na sasa kampoteza mama yake. Ndiyo malipo hapa hapa.