Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

Hivi kuna mtu anaweza kuniambia hapa kwanini
Kweli Kabendera ameanza kulipwa hapa hapa. Mpaka ameugua na sasa kampoteza mama yake. Ndiyo malipo hapa hapa.
Yaani unafurahia!! Yaani watu aina yako mnaona mtu kama Kabendera ndo adui mkubwa sana kwako kuliko ma-CCM yanayoibia nchi!!! Yaani mtu kama Kabendera ni adui mkubwa kwenu kuliko Bashite ambae anatumika na wafanyabiashara kukwepa kodi! Yaani mtu kama Kabendera mnaamini ni adui mkubwa kwenu kisa tu kuandika Utawala wa Magufuli ni wa Kidikteta lakini kwenu Magufuli anayewaachia wabakaji na walawiti watoto kwenu ndo the hero!

Ajabu nyingine na inayowafanya niwacheke ni pale mnapodhani nyie ndo mpo salama zaidi kwavile ni wapiga makofi! Amini amini nawaambia: Aliye salama nchi hii kwa sasa ni Magufuli mwenyewe TU na familia yake! Hata huyo Bashite ngoja aache kuimba nyimbo za mapambio kama suala la "Dad's son" litaendelea kwake!!
 
Unaongelea sheria wakati huna lolote ujualo kuhusu sheria
Wewe na kambole au kibatali nani anajua sheria?
Kutokushinda kesi nje ya nchi haimaanishi kuwa wewe ni mwanasheria mbovu
Acha kuongelea watu usiowafahamu.

Una hoja za sheria I can give you arguments. Otherwise usinipangie uwezo wangu limitations najipa mimi sio wewe.
 
Je? Kuna mtu humu ana ndugu,jamaa,rafiki,jirani,mke,Mme,mtoto au huko kwenye nyumba za ibada iliwahi kutokea akiwa katika kushikiliwa kwa kesi isiyo na dhamani kisha akapata msiba akapewa ruhusu ya maziko?

Kabla hujapinga jibu swali hapo juu nyie wanaharakati,waandishi wa habari na wanasheria achilia mbali wanasiasa

Ume tayari umehukumiwa ,au unashikiria kwa uchunguzi vilevile upo katika mchakato wa kimahakama kwa kesi isiyo na dhamana

Tufikie sehemu tuwe wakweli kwa hili na kuacha kulalala haisaidii maana jela sio shuleni au kazini

Non above the law ,hakuna cha umaarufu, kujulikana ,kuwa kiongozi wala mwanamziki jela ni jela na ukishajiingiza huko lazima utoke kama sheria inavyosema

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pamoja Santa,

Mara upande wa Kabendera, mara upande wa CCM

Infact upo upande wa CCM

Ila umekua na makala ya kinafiki kabisa

Kuomba dhamana kwenda kufanya tukio muhimu mtaani ni ruksa

Bado hajafungwa,wapo rumande na trial inaendelea sio eti kafungwa

Inaruhusiwa kuomba ndio maana wakaomba

Halafu unakuja na makala ya kinafiki mno

Kaomba kanyimwa basi kanyimwa,ni haki yetu kuiongelea kwamba hakimu kanyima

Sijui ubaya upo wapi hapo?

Maccm mna maunafiki aisee sijawahi ona
 
USSR, Mimi hakuna. Nadhani umuhimu wa Kabendera ulitokana na kauli ya mama kuomba mwanawe aachiwe kwani ndiye tegemeo na kwamba anaumwa na hana msaada wa dawa. Kama ulimsoma Paskali kuhusu kumwomba mheshimiwa amwangaoie kwa undani ungeelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hakuna. Nadhani umuhimu wa Kabendera ulitokana na kauli ya mama kuomba mwanawe aachiwe kwani ndiye tegemeo na kwamba anaumwa na hana msaada wa dawa. Kama ulimsoma Paskali kuhusu kumwomba mheshimiwa amwangaoie kwa undani ungeelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini yeye ,unadhani wangapi yamewakuta tena zaidi ya haya na bado wako na hawajui kama wamefiwa

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HII NI NJIA AMBAYO MUNGU ANAFIKISHA UJUMBE KWA JAMII ILIYO NAFKI.
KUWA "AVUMAYE PAPA BAHARINI................"
KUNA WATU 10YRS WAKO MAHABUSU BILA KUJUA HATMA YAO.
TUNGEAZA KUWAPIGANIA HAO NADHANI HUYU MMOJA LISINGEMKUTA
 
Mimi hakuna. Nadhani umuhimu wa Kabendera ulitokana na kauli ya mama kuomba mwanawe aachiwe kwani ndiye tegemeo na kwamba anaumwa na hana msaada wa dawa. Kama ulimsoma Paskali kuhusu kumwomba mheshimiwa amwangaoie kwa undani ungeelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tutakukamata,

na kama hakuna vifungu vya sheria vya kukufunga,

TUTAKUSUMBUA MPAKA JAMAA ZAKO WAKUONEE HURUMA,

NI MWENDO WA UBABE TU
 
Mimi hakuna. Nadhani umuhimu wa Kabendera ulitokana na kauli ya mama kuomba mwanawe aachiwe kwani ndiye tegemeo na kwamba anaumwa na hana msaada wa dawa. Kama ulimsoma Paskali kuhusu kumwomba mheshimiwa amwangaoie kwa undani ungeelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tutakukamata, na kama hakuna vifungu vya sheria vya kukufunga,

TUTAKUSUMBUA MPAKA JAMAA ZAKO WAKUONEE HURUMA,

NI MWENDO WA UBABE TU
 
Acha comedy huu utaratibu wa mtuhumiwa kufiwa na kuomba kupewa ruhusa kuhudhuria msiba umeanza lini? Tuache mihimili ifanye yake
 
Mimi hakuna. Nadhani umuhimu wa Kabendera ulitokana na kauli ya mama kuomba mwanawe aachiwe kwani ndiye tegemeo na kwamba anaumwa na hana msaada wa dawa. Kama ulimsoma Paskali kuhusu kumwomba mheshimiwa amwangaoie kwa undani ungeelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabendera amejitakia,wakati analipwa kutukana,mama yake alimsihi aachane na hayo mambo lakini hakusikia
 
Kabendera in his good time, used to throw arrows to others. Now his victims are hitting back; throwing arrows back to him... He should not be afraid to eat the fruit he picked from a tree. Even if they are poisonous fruits...
Mkuki kwa nguruwe. Kwa binadamu mchungu...
Mmezoea vya KUNYONGA vya kuchinja hamviwezi na kwa kuwa Mmeanza na SHETANI hamuwezi kumaliza na MUNGU.
 
Kumbe kabendera huwa analia?
Huyu kibaraka ni kweli kwamba ipo siku atayalipa matusi yake?
 
Utafiti mpya uliotolewa na umoja wa mataifa bongo imeonekana ndio taifa linaloshikilia nafasi ya kwanza duniani kwa unafiki!
 
Back
Top Bottom