Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

Wyatt Mathewson,
Wamezoea vya KUNYONGA.....vya kuchinja kamwe hawaviwezi. kama alivyowahi sema Mwenyekheri ,Baba wa taifa Hayati,Mwl JK 1, Ukila nyama ya Bin-Adam huwezi kuacha . hawa CCM hawatoacha mchezo huu mchafu.Ni wa achafu kuliko Uchafu wenyewe.
 
ungerudi shule ukajifunza kuandika. aibu tupu kwako na kwa jf bila ya kutaja gt. roho mbaya inakupelekesha na kukuguna. heri maiti kuliko wewe na mawazo yako na uandishi wako. kichefuchefu balaa!
Wewe unafananisha mtu mzima na maiti!? Aisee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] omba radhi mkuu

Anyways.

Kila mtu ashinde mechi zake bwana.
 
ungerudi shule ukajifunza kuandika. aibu tupu kwako na kwa jf bila ya kutaja gt. roho mbaya inakupelekesha na kukuguna. heri maiti kuliko wewe na mawazo yako na uandishi wako. kichefuchefu balaa!
Mkuu sio roho mbaya bali amejaribu kuonesha kile ambacho wanasiasa wetu wanachokifnya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuomboleza kwa huzuni Bibi kizee aliyetimiza umri wa kuishi ni janga la kusikitisha.
Makabila yetu hufanya sherehe na siyo kuhuzunika.
Teia hii ni sehemu ya ujinga usiyo wa kihaya labda kwa watu wa Dar..
 
..kwani Kabendera alikuwa akiwabambikia watu keso za uhujumu uchumi, kiasi kwamba leo iwe halali kulipiziwa na aliopata kuwatesa?

..Kabendera ni muandishi, anatumia kalamu. Kwa msingi huo yeyote anayetatizwa au kuchukizwa na anayoandika Kabendera anapaswa kumjibu au kumpinga kwa kalamu.
Kutumika Mkuu ndo kubaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mahabusu wangapi hufiwa na watoto,wake au wazazi wao wakiwa mahabusu? Je,hawa huruhusiwa kwenda kuwaaga/kuwazika ndugu zao ila Kabendera pekee akanyimwa haki hiyo kiuonevu? Kama sivyo basi,kwa nini mjadala usijikite kutafuta haki hii ya mahabusu kwa ujumla wao na sio Eric peke yake? Wasomi tuko sawa hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usishadadie vitu usivyo vijua, Kabendera anapata misukosuko kwasababu ya nyaraka alizopewa na marehemu Lwajabe kabla ya umauti haujamkuta
If what you people are saying is true na ameuza nyaraka za serikali, kitu smbacho ni kibaya kwann usimshtaki kwa kosa LA treason? Sababu sheria ipo, kwann uende kwenye uhujumu uchumi? Nani angelalamika kama MTU anauza siri za serikali? Na kweli ziwe siri, sio ufisadi unafanyika then hizo taarifa zinakuwa classified as TOP secret, sababu akili za MTU mweusi tunazijua, anaiba then anataka hizo taarifa ziwe siri.
 
Back
Top Bottom