Unatetea nini sasa, Hivi hii serikali ya ccm wewe unaijua vizuri au unaisikia tu!!Kiongozi, Mdude alisamehewa na nani na alisamehewa kutoka katika hatia ipi? Kwa lugha hii, unamaanisha kwamba Mbowe anashikiliwa kama kisasi kwa maneno ya mdude? Utekelezaji wa azma hii ni kifungu namba ngapi cha katiba?...
wabambikaji wanataka.Unataka kunilipa.?
Mbona hamuishiwi maneno,mwanzoni mlisema hakuna mwanachama wa CDM atakeyethubutu kuhudhuria na kwamba ni kelele za mitandaoni-Wamekuja alafu sasa unaanza kuleta mambo ya excuse kupitia taratibu? CCM ni hopeless.Kuna sehemu huruhusiwi kupiga kelele Wala kufanya mimutano ya siasa nazo ni hospitali na mahakamani.Marufuku hata kupiga honi Sasa wao waanaenda kuimba kwaya mahakamani walitarajia Nini Ni kubughudhi mahakama pia Ni kuingilia uhuru wa majakama na kuitishia. Na kuokosesha isifanye kazi kwa utulivu .Utaendaje kuendesha mkutamo wa siasa na mibango mahakamani hivi hao chadema kichwani akili zimo?
Tumeisha tia Tim, tutasubili hata wahirishe mpaka mwakani,Ilitakiwa ifanyike kwa njia ya mtandao hivyo mtandao umegoma.
Kesi itasikilizwa kesho saa 3 namtuhumiwa atapelekwa mahakamani.
Source Radio one
NB Hiyo ni chenga tu,Kesha mtasikia mitambo imekaa sawa na kusikiliza kwa njia ya mtandao
Kwahiyo Mungu katuletea mama?Unadhani hiki unachoandika hapa kitafuta udhalimu wa yule ibilisi aliyeko motoni? Hata huyu mama wa kambo aaue wapinzani wote hapo uwanja wa taifa, bado lile takataka lilikuwa ni janga kwa nchi hii. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule mtu muovu bila damu kumwagika.
Ok. Wewe Mama D Kama Mama D mtazamo wako kuhusu katiba Ni upi?Viwembe sio mateso ya wengine?
Segerea ni sehemu ambayo yoyote anaweza ingia kama anastahili
Kama mmesema wenyewe kwanini tusiamini? Tatizo lenu huwa mnajisahau sana
Mwafaaa, mtasubili Sana na badoMbowe aongezewe kesi ya kuirudisha Chadema miaka ishirini nyuma.
Sawawabambikaji wanataka.
Dunia hii mtu anaeonekana ni mjinga kuliko wote ni yule anaeamini kuwa ni haki kudhuriwa, kuteswa kufungwa au kuuwawa mtu anaetafuta haki kwa njia ya amani.Kikundi cha watu 50 wanataka kuleta vurugu, peleka ndani wakalale na kunguni wakitoka j3 waende kuwasimulia wenzao vizuri Clubhouse na Maria Space.
Kwahiyo Mungu katuletea mama?
Mama D tuna kesi yake ICC, mmoja alisha ikimbia sio KWa kutaka, ila KWa mapenzi , ya Mungu ila sio mda viongo wa juu wa vyombo vya ulinzi ukimto Mabeyo, tutawaunganishaOk. Wewe Mama D Kama Mama D mtazamo wako kuhusu katiba Ni upi?
Je ni (a)unaunga mkono kuwa tunaihitaji katiba mpya au ni (b) Hauungi mkono uhitaji wa katiba mpya.
Jibu fupi fupi tu.(a) au (b).
Mungu bado yupo kazini subirieni picha tu!Kwahiyo Mungu katuletea mama?