Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua

Mbowe aongezewe kesi ya kuirudisha Chadema miaka ishirini nyuma.
 
Watu wengine wanaotarajiwa kufurika Kisutu ni Wawakilishi kutoka Jumuiya ya Ulaya, Marekani na balozi kadhaa nchini huku vyombo vikubwa vya Habari Duniani BBC, VOA, DW na Aljazeera vikitarajiwa kuwa live mahakamani.
hii si habari njema kwa wana CCM, walitaka kesi hii iwe SIRI na ahukumiwe ikiwezekana bila kufika mahakamani kwa uharaka zaidi, ili kabla hajapata hata nakala ya hukumu yake - Msajili wa vyama na yeye afanye yake ndani ya muda mfupi saana.

Wacha tuone - maajabu ya nchini yetu
 
Halafu huyo Mbowe wao alipokuwa Mwanza akamtukana DC wa Ilemela kwamba ni mjinga mjinga tu, halafu mtu huyo unayemtukana unatarajia akupe ulinzi, akunyenyekee, wewe nani?
Kwani Gwajima katukana wangapi juzi tu kasema mkuu wa nchi kahongwa madola ili apokee chanjo kuwaua raia wake , fikiri tu kauli hii angesema mpinzani nini kengetokea.
 
 
Hivi unamkumbuka mdude alijigamba vipi baada ya kusamehewa? Kiongozi gani anakubali maneno ya kejeli kama hayo. Midomo inawaponza
Sasa mdude ni nani mbele ya Rais.......kwa upumbavu huu ...nchi ina safari ndefu sana
 
Mbowe angeanza na katiba ya chama chake wakati wanahangaika na katiba ya nchi wakati katiba yake haiko sawa
Hajaanza na katiba ya CCM pamoja na ubovu wake wala hajawahi kuwa na mpango nayo,tumia akili japo kiduchu
 
Hivi unamkumbuka mdude alijigamba vipi baada ya kusamehewa? Kiongozi gani anakubali maneno ya kejeli kama hayo. Midomo inawaponza
Kwani kujigamba ni kosa?

Wajinga ni wengi sana, hata propaganda wanaifanyia kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…