Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Mbowe aongezewe kesi ya kuirudisha Chadema miaka ishirini nyuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii si habari njema kwa wana CCM, walitaka kesi hii iwe SIRI na ahukumiwe ikiwezekana bila kufika mahakamani kwa uharaka zaidi, ili kabla hajapata hata nakala ya hukumu yake - Msajili wa vyama na yeye afanye yake ndani ya muda mfupi saana.Watu wengine wanaotarajiwa kufurika Kisutu ni Wawakilishi kutoka Jumuiya ya Ulaya, Marekani na balozi kadhaa nchini huku vyombo vikubwa vya Habari Duniani BBC, VOA, DW na Aljazeera vikitarajiwa kuwa live mahakamani.
Kwani Gwajima katukana wangapi juzi tu kasema mkuu wa nchi kahongwa madola ili apokee chanjo kuwaua raia wake , fikiri tu kauli hii angesema mpinzani nini kengetokea.Halafu huyo Mbowe wao alipokuwa Mwanza akamtukana DC wa Ilemela kwamba ni mjinga mjinga tu, halafu mtu huyo unayemtukana unatarajia akupe ulinzi, akunyenyekee, wewe nani?
Poleni sana kazi yenu ngumu mnoHata sisi tupo tayari ngangari. Ni bora ungerudi nyumbani kwa faida yako na familia yako
Fanya chochote utakaloweza ila chadema haikufahamuTunamta mbowe awe huru vinginevyo tusilaumiane
Hivi kuhudhuria Mahakamani ni kosa ? mbona mnakuwa wajinga nyinyi !Kama ya Erythrocyte vile
Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi.
Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya Ugaidi.
Kesi hii inavuta kila mpenda haki na mwanademokrasia kutokana na ukweli Mbowe amebambikizwa kesi hii ili kumnyamazisha kutokana na Kampeni aliyoasisi ya Kudai Katiba Mpya
Mahakama hii inatarajiwa kufurika umati mkubwa wa watu kulaani unyama na uonevu wa vyombo vya dola.Ikumbukwe ni juzi tu bila Aibu alijitokeza IGP Simon Sirro na kuingilia mhimili wa Mahakama kwa kumhukumu Mbowe huku akijua kesi iko mahakamani.
Watu wengine wanaotarajiwa kufurika Kisutu ni Wawakilishi kutoka Jumuiya ya Ulaya, Marekani na balozi kadhaa nchini huku vyombo vikubwa vya Habari Duniani BBC, VOA, DW na Aljazeera vikitarajiwa kuwa live mahakamani.
Molemo media tayari iko kwenye viwanja vya Mahakama hii kuwaletea kila kinachojiri.
Sasa mdude ni nani mbele ya Rais.......kwa upumbavu huu ...nchi ina safari ndefu sanaHivi unamkumbuka mdude alijigamba vipi baada ya kusamehewa? Kiongozi gani anakubali maneno ya kejeli kama hayo. Midomo inawaponza
Hajaanza na katiba ya CCM pamoja na ubovu wake wala hajawahi kuwa na mpango nayo,tumia akili japo kiduchuMbowe angeanza na katiba ya chama chake wakati wanahangaika na katiba ya nchi wakati katiba yake haiko sawa
Kuhailishwa maana nini?Mtafurumushwa wote na kesi kuhailishwa
Kwani kujigamba ni kosa?Hivi unamkumbuka mdude alijigamba vipi baada ya kusamehewa? Kiongozi gani anakubali maneno ya kejeli kama hayo. Midomo inawaponza
Haikufahamu wewe kwangu mimi Chadema ni family yangu nikiwa na matatizo inanifariji na hata kunisaidia, nakipenda sana chama hiki kwani hakina mbadala.Fanya chochote utakaloweza ila chadema haikufahamu
Mwanamke kuwa na roho mbaya hivyo Kama wewe haipendezi!
Unalipwa ngapi mkuu?Umefika wapi kamanda. Unataka nije kuwaongoza niwaonyeshe ni namna gani ya kudai haki.
Maana Bavicha mko kama mafala.
Mkuu nipo viwanja vya mahakama hapa watu wanazidi kujaa.Umefika wapi kamanda. Unataka nije kuwaongoza niwaonyeshe ni namna gani ya kudai haki.
Maana Bavicha mko kama mafala.