Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua

Hawa ndio watu 5000 tulioambiwa wametoka mikoa 20 ya nchini? Tehetehe.
 
Tunajua Nulad yupo! Wakati wa Euromaidan alikuwepo.
=====
Hivi hawa wamekuja kusikiliza kesi ama wamekuja kuingilia uhuru wa mahakama katika kesi hii?. Hii wapi karama ya watu hawa juu ya kuhimiza serikali ifuate sheria kwa mujibu wa katiba yao na Ilani zao zauchaguzi?
 
Chadema ni wachache au waoga,yani Dar yote wafuasi wa Chadema ndo hao tu?.
Nmeshangaa sana mkuu!

Huwezi amini kama wale elfu 6 wanaopiga porojo kwenye space ya Maria kama ndio hao
 
Polisi ni waoga sana yaani wananchi wapo mikono mitupu wao na mabunduki kama wapo Somalia vile.
Hahaa kazi hizi za kutumwa nalaani asije katk ukoo wangu akaelekea huko.
 
Ndo hivyo licha ya mikwara mbuzi ya IGP kwamba atakayesogea atakiona cha mtema kuni lakini watu wamefika kwa wingi hawajali kauli ya sirro wala nani.

Hadi hapo hujagundua kwamba watu hawana uoga tena?
Bado sijaona,

Labda tungojee muda useme.
 
Yaani kila mtu ametoka nyumbani kwake kwa nia yakuhudhuria kesi halafu wakakutana eneo moja waende waombe kibali?
Kama kila mmoja alitoka nyumbani kivyake ilikuwaje wakafika na kuanxa kuimba wimbo mmoja wenye maneno yaleyale na wakiwa na mabango? Yenye ujumbe uleule?

Waligeuza mahakamani kituo Chao Cha kukutania kuendesha siasa
 
Ulitamani maandamano yawe ya vurugu ili kuhalalisha kwamba Mbowe ni gaidi? Wana chadema wana akili sana wanajua mitego yote.
Yeah afu yawe non stop.

Hata chama kikufutwa lakini haki ipatikane.

Tatizo wanasiasa wanatanguliza mbele maslahi yao. Sio nnchi
 
Mbona hatukuona huo msimamo wao kwenye masheikh wa uamsho?
Unaonaje mama alivyo siyo dhalimu.,!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Anawakomesha mataga, sukuma gang na kufuta legacy

Anafungua nchi

Anamwaga hela mtaani tuwe tunaziokota!
 
Midomo yenu inaponza watoto wewe ona hapa chini
 

Attachments

  • Chanjo.mp4
    7.2 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…