Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Wakakuta mtuhumiwa wa ugaidi ameshindwa kufikishwa mahakamani kisa gari limeharibika..hakuna kitu kama hicho hao walienda kuchungulia tu kama wachunguliaji wengine hawawezisema lolote
safi kabisa waone huu uozoHivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo .
Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao , maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi
Hao mabeberu mnadhani watawasaidia?. Nyumbu mna matatizo Sana.
Lengo ni kukomoa wananchiWakakuta mtuhumiwa wa ugaidi ameshindwa kufikishwa mahakamani kisa gari limeharibika..
What a stupid excuse
Ukifika kipindi changu kesi kubwa itakuwa ni kutokula Bata.Kipindi cha jk kesi kubwa ubakaji !
Kipindi cha magufuli kesi kubwa hujumu uchumi !
Kipindi cha SSH kesi kubwa sasa ugaidi !
Hii nchi bwana
Vifaa vyote ni vya mabeberu anavyotumiaBila beberu usingeweza comment hapa Jamii forum
Mwambie hata chanjo ya ndui alipewa kwa msaada wa Mabeberu.Bila beberu usingeweza comment hapa Jamii forum
Samia yupo level ya mekoHivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo .
Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao , maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi
Walikuja kumwona Gaidi Mbowe?Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo .
Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao , maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi
Slavery mentality!!Samia yupo level ya meko
Hajali tena ilimradi yeye anakula anashiba basi. Haangalii kuwa nchi ZA kiafrika lazima ziwe na wahisani na wanataka ajira nyingi sana
NdioWalikuja kumwona Gaidi Mbowe?
Vipi mmeshapalilia kaburiSlavery mentality!!
BadoVipi mmeshapalilia kaburi
KumbeNdio
Wakitoka hapo wataenda kutembele kaburi la mungu wenu kule chato
walisema hakika kesi hii ni ya kubambikia ndiyo maana jamuhuri inahaha.Je walisemaje walipoambiwa haletwi Leo mahakamani kwa sababu magari ni mabovu?
Hizo ni ideology za miaka ya 70 enzi za ujamaa.Unashindwa kuelewa hao watu weupe wazungu ndio wanaounda matatizo ili msiwe stable.
Unashindwa kuelewa kipindi mwarabu unaemwita katili Gaddafi alipotaka kuifanya Afrika ijitegemee wazungu unaowatukuza wakamuua.
Unashindwa kuelewa hao wazungu wanakutawala kikoloni mambo leo.
HII DUNIA MZUNGU NDIO KAIHARIBU KILA KONA.
MWARABU UNAEMWITA KATILI KAKUPA MISAADA MINGI HAPA TZ KWA TAASISI ZAKE KM OIC,TIF N.K N.K HAO WAARABU UNAOWAITWA MAKATILI WAMEKUSAMEHE MADENI NA WAMEKUKOPESHA BILA RIBA.
TAFITI MAMBO USIMEZE PROPAGANDA.