Kisutu: Maafisa wa EU, UN na Mabalozi wa Marekani, Sweden na Ujerumani wahudhuria Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

Kisutu: Maafisa wa EU, UN na Mabalozi wa Marekani, Sweden na Ujerumani wahudhuria Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo .

Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao , maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi

safi kabisa waone huu uozo
 
Kipindi cha jk kesi kubwa ubakaji !
Kipindi cha magufuli kesi kubwa hujumu uchumi !
Kipindi cha SSH kesi kubwa sasa ugaidi !

Hii nchi bwana
Ukifika kipindi changu kesi kubwa itakuwa ni kutokula Bata.
 
Ak88-A.jpg
AMDRiN.jpg
AEAEd6.jpg
 
Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo .

Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao , maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi

Samia yupo level ya meko

Hajali tena ilimradi yeye anakula anashiba basi. Haangalii kuwa nchi ZA kiafrika lazima ziwe na wahisani na wanataka ajira nyingi sana
 
Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo .

Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao , maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi

Walikuja kumwona Gaidi Mbowe?
 
Worldwide, we got y'all, y'knahmean? This right here represents strength in our people!!!

Cock-suckers can not touch us, the block love us We got the ghetto on our back muh'fuckers!!

CCM AWAMU YA SITA ITACHANIKA MSAMBA KWA KUIGIZA YA JOHN MAGUFULI
CCM ya mwendazake hayati John Pombe Joseph Magufuli, ilianza kwa staili ya kutumbua, kujenga miradi ya maendeleo ya Vitu kama barabara, flyovers, SGR Reli Mpya kabla ya kuwageukia vikali wapinzani na mkakati wa propaganda kuwa anajenga uchumi na kuwapiga vita vibaraka na wasiotaka maendeleo ukafanikiwa kuwapumbaza na kuwalaghai wengi ndani ya nchi na nje pia.

Awama ya 6 ya CCM ya Mh. Rais Samia Suluhu haina chochote walichotumia kuwapumbaza wananchi 'wanyonge' wala wadau wa maendeleo na awamu ya 6 inataka kumuigiza John Magufuli bila kutumia kwanza ndoano za kisiasa na afueni ya maisha kwa wanyonge, hapo wamefeli sana kwa kukurupuka "kuwashughulikia' wapinzani bila kitu cha kuwashawishi watu kuwa wanajenga uchumi mpya na maendeleo ya Vitu au Maendeleo ya Watu ambayo watu watapumbazika kwa ujinga kuwa naaam awamu ya 6 nayo inafanya kitu kinachowagusa.
 
Unashindwa kuelewa hao watu weupe wazungu ndio wanaounda matatizo ili msiwe stable.
Unashindwa kuelewa kipindi mwarabu unaemwita katili Gaddafi alipotaka kuifanya Afrika ijitegemee wazungu unaowatukuza wakamuua.
Unashindwa kuelewa hao wazungu wanakutawala kikoloni mambo leo.
HII DUNIA MZUNGU NDIO KAIHARIBU KILA KONA.
MWARABU UNAEMWITA KATILI KAKUPA MISAADA MINGI HAPA TZ KWA TAASISI ZAKE KM OIC,TIF N.K N.K HAO WAARABU UNAOWAITWA MAKATILI WAMEKUSAMEHE MADENI NA WAMEKUKOPESHA BILA RIBA.
TAFITI MAMBO USIMEZE PROPAGANDA.
Hizo ni ideology za miaka ya 70 enzi za ujamaa.
Matatizo ya mwafrika yamesababishwa na mwafrika mwenyewe.Na yeye mwenyewe ndo mwenye uwezo wa kutatua.
 
Back
Top Bottom