Kisutu: Maafisa wa EU, UN na Mabalozi wa Marekani, Sweden na Ujerumani wahudhuria Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

Hizo ni ideology za miaka ya 70 enzi za ujamaa.
Matatizo ya mwafrika yamesababishwa na mwafrika mwenyewe.Na yeye mwenyewe ndo mwenye uwezo wa kutatua.
Endelea kukataa ukweli eti ideology za miaka 70.
Nakubali kuna matatizo ya KiAfrika imesababisha Africa yenyewe ila Gaddafi hajafa miaka ya 70 ni juzi tu 2011.
Kuna mengi ila mie naona niishie hapo.
 
Nchi za kijamaa haziogopagi mabeberu ujue,,jifunze kwa venezuela,cuba,china,,,
Statu quo itabaki palepale..
 

Hii habari mbaya sana kwa ile mburumundu. Sasa hivi nyuso zao ziko hapa:



Na uzi huu hapa:


Halali yao.
 
Huu ujumbe umesikika mbali mno
 
Hiki kibibi kilipandisha heshima yake kwa kasi sana,ila sasa heshima inashuka kwa speed ya 220km/hr.

2025 atafika kweli!? I doubt
 
"GREAT THINKER".

Nakusoma hapa JF kwa mara ya kwanza!
 
Endelea kukataa ukweli eti ideology za miaka 70.
Nakubali kuna matatizo ya KiAfrika imesababisha Africa yenyewe ila Gaddafi hajafa miaka ya 70 ni juzi tu 2011.
Kuna mengi ila mie naona niishie hapo.
Gadafi alikoroga mwenyewe angeunganisha watu wake asingeuliwa.
Mbona china na Irani imeshindikana kuzisambaratisha.Jibu ni wamoja ukiwaunganisha watu wako watakulinda dhidi ya adui.
Je waafrika ni wamoja?
 
Hao uliowataja kumbe ndo waliomtuma?
Mahakama inaweza tishiwa na watu?
 
Failed state, wakati mwingine hizi movie za kutengeneza mpunguze serikali inaenda utafikiri haina watu makini wa kushauri na kuiona kesho yetu na bado usalama wa taifa upo Kwa ajili ya rais na serikali yake na si nchi yetu kwanza
 
Je walisemaje walipoambiwa haletwi Leo mahakamani kwa sababu magari ni mabovu?
Mkuu hii ni aibu kubwa, mpaka mmachinga zaidi 60 toka tupate UHURU magari ya magereza (Taasisi Kubwa) shida, mabovu; (magereza ya DAR) sasa huko Tandahimba na Nakapanya ect si ndio hakuna kabisa. Wakati huo watawla/Viongozi wana ma V8 ya zaidi ya milion 400.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…