nygax
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,370
- 865
Hii kitu haitakaa itokee kuwa na majibu ya kuridhisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kitu haitakaa itokee kuwa na majibu ya kuridhisha.
HAWAWEZIKUITOLEA MAJIBU NDIYO INATHIBITISHA UHUNI WA HAWA JAMAAHii kitu haitakaa itokee kuwa na majibu ya kuridhisha.
Ilibidi wawe wapoleJe walisemaje walipoambiwa haletwi Leo mahakamani kwa sababu magari ni mabovu?
Mungu wabariki WazunguSafari hii, hii aibu sijui wataiweka wapi! Kufuta kesi wanaona noma, kuwaleta mahakamani noma...na wazungu nao wamekomaa. Patamu hapo
Endelea kukataa ukweli eti ideology za miaka 70.Hizo ni ideology za miaka ya 70 enzi za ujamaa.
Matatizo ya mwafrika yamesababishwa na mwafrika mwenyewe.Na yeye mwenyewe ndo mwenye uwezo wa kutatua.
Nchi za kijamaa haziogopagi mabeberu ujue,,jifunze kwa venezuela,cuba,china,,,Hiyo kesi inakwenda kufutwa. Kitendo cha hao wadau wa maendeleo kwenda mahakamani leo ilikuwa sawa na kutuma ujumbe Serikalini kwamba hawapo na Serikali bali wapo na Mbowe.
Mwenye akili yeyote atajitafakari. Na ikitokea hii kesi ikafutwa, itakuwa aibu kubwa kwa Mkuu wa Nchi. Ingebaki kuwa aibu kwa IGP na Polisi wake, lkn yale mahojiano ya BBC yamehamishia fedheha hii upande wa juu zaidi.
Lkn ni heri nusu shari kuliko shari kamili. Kesi itafutwa, IGP ataondoka. Maisha yanaweza kuanza upya.
Uwezekano wa Warioba kuitwa kazini upo wazi.. ikishindikana, itakuja kuwezekana tukiwa tumechelewa.
Nashauri Chama changu kitumie HEKIMA YA MWALIMU NYERERE MIAKA ILE YA 90!
Hawajaja bure wana maslahi yao .Mungu wabariki Wazungu
Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo .
Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao , maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi
View attachment 1890840View attachment 1890841View attachment 1890842
Mala mtandao mbovu,leo magari mabovu,huu usanii ajabu sana,Je walisemaje walipoambiwa haletwi Leo mahakamani kwa sababu magari ni mabovu?
Wakachangie magari sasaJe walisemaje walipoambiwa haletwi Leo mahakamani kwa sababu magari ni mabovu?
Huu ujumbe umesikika mbali mnoHivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo .
Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao , maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi
View attachment 1890840View attachment 1890841View attachment 1890842
Chajo imekushinda, unategemea vya bure. Acha shobo ujue!Hao mabeberu mnadhani watawasaidia?. Nyumbu mna matatizo Sana.
Hiki kibibi kilipandisha heshima yake kwa kasi sana,ila sasa heshima inashuka kwa speed ya 220km/hr.Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo .
Ugaidi katika nchi ni jambo baya linaloweza kuwatisha wawekezaji , hivyo ilikuwa ni lazima wadau wa maendeleo kuhudhuria kesi hiyo ili kupima kiwango cha ugaidi kwa lengo la kulinda wawekezaji kutoka kwenye nchi zao , maana ni hatari kuwekeza kwenye nchi yenye Ugaidi
View attachment 1890840View attachment 1890841View attachment 1890842
"GREAT THINKER".Hiyo kesi inakwenda kufutwa. Kitendo cha hao wadau wa maendeleo kwenda mahakamani leo ilikuwa sawa na kutuma ujumbe Serikalini kwamba hawapo na Serikali bali wapo na Mbowe.
Mwenye akili yeyote atajitafakari. Na ikitokea hii kesi ikafutwa, itakuwa aibu kubwa kwa Mkuu wa Nchi. Ingebaki kuwa aibu kwa IGP na Polisi wake, lkn yale mahojiano ya BBC yamehamishia fedheha hii upande wa juu zaidi.
Lkn ni heri nusu shari kuliko shari kamili. Kesi itafutwa, IGP ataondoka. Maisha yanaweza kuanza upya.
Uwezekano wa Warioba kuitwa kazini upo wazi.. ikishindikana, itakuja kuwezekana tukiwa tumechelewa.
Nashauri Chama changu kitumie HEKIMA YA MWALIMU NYERERE MIAKA ILE YA 90!
Gadafi alikoroga mwenyewe angeunganisha watu wake asingeuliwa.Endelea kukataa ukweli eti ideology za miaka 70.
Nakubali kuna matatizo ya KiAfrika imesababisha Africa yenyewe ila Gaddafi hajafa miaka ya 70 ni juzi tu 2011.
Kuna mengi ila mie naona niishie hapo.
😆😆😆 Tulionya tukapuuzwa"GREAT THINKER".
Nakusoma hapa JF kwa mara ya kwanza!
Mkuu hii ni aibu kubwa, mpaka mmachinga zaidi 60 toka tupate UHURU magari ya magereza (Taasisi Kubwa) shida, mabovu; (magereza ya DAR) sasa huko Tandahimba na Nakapanya ect si ndio hakuna kabisa. Wakati huo watawla/Viongozi wana ma V8 ya zaidi ya milion 400.Je walisemaje walipoambiwa haletwi Leo mahakamani kwa sababu magari ni mabovu?
Si ndo hao mnawategemea kimaendeleo na kibajeti?? Au hao ni tofaut na wale mnaowaita wafadhil 🤣🤣Hao mabeberu mnadhani watawasaidia?. Nyumbu mna matatizo Sana.