Acha upumbavu wako, huyo sethi kachukua pesa za wananchi na bado tanesco wanadaiwa mabilioni kwa sababu ya huyo sethi na wenzakeHuu ujinga bado unaendelezwa? Mama sasa hasomeki.
Huyo ndio DPP sio kama yule Biswalo Mganga aliyekuwa anataka Rushwa.DPP Sylvester Mwakitalu
Huyu Dpp yuko powa!! Ana piga kazi. Sio yule alie jaza watu magereza kwa kesi za kugushi, na kujifungulia akaunti BOT.DPP Sylvester Mwakitalu leo amemuachia huru mfanyabiashara Herbinder Seth baada ya kukiri makosa na kulipa faini.
Mzee Ruge bado amekomaa, tusubiri tuone nini kinaendelea.
Source: Darmpya Blog
Kama amekiri makosa ataishitakije serikari?Singa singa intown....sasa ile mitambo pale pameota nyasi....yale ma HOF engines yatahitaji mpunga ww kutosha kuyaamsha na kuyawasha au kuyauza ... Kuna hatari ya kesi inakuja kati ya GOVT na SETH + RUGE na hichi ndicho yule jamaa alikikwepa akaamua kuwahifadhi akiamini kwa mateso na kukosa uhuru natural death itasema nao...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najua hapa unajiuliza uunge mkono au upinge!Mama hana Chuki na Wafanyabiashara sio kama yule Aliyepita
Alipewa malengo SAwa na TRAHuyu Dpp yuko powa!! Ana piga kazi. Sio yule alie jaza watu magereza kwa kesi za kugushi, na kujifungulia akaunti BOT.
Mimi nilikuwa Kiherehere wa CCM kabla yako kwa taarifa yako KAMWE! sintorudi CCM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najua hapa unajiuliza uunge mkono au upinge!
Maana ukipinga, kwa akili zako unahisi unawapa ujiko wafuasi wa jiwe, ukiuunga mkono unajiuliza mbona haya maamuzi yapo kama ya DPP wa jiwe aliepita?
Yani sasa hivi mnapigwa kote kote na mmepoteana kichizi. Na bado!
Ni maamuzi yako ndio uhuru huo!Mimi nilikuwa Kiherehere wa CCM kabla yako kwa taarifa yako KAMWE! sintorudi CCM
Huu ni unyang'anyi kwa kutumia sheria mbovu za kidola!Safi sana Seth ataingiza Mzunguko wa fedha na kuajiri waTZ wengi...Mikumi Tena kwa SSH.
Militaka afanye nini, uibiwe halafu kwa kuwa ni pesa za Tanesco ?, haha aaahaa nchi hii kazi kweli kweli.Napongeza juhudi hizi,
Ni mwanzo mzuri Sana kuyafikia maridhiano kwa mustakhbali mzima was ustawi taifa letu.
Mwendazake alkua Ni mtu katili Sana,
Huu ujinga bado unaendelezwa? Mama sasa hasomeki.
Ujinga gani na wewe! ?Haya ni makubaliano ya kisheria na ameachiwa baada ya pande zote mbili kukubaliana; hivyo ni sawa kwa pande zote husika. Herbinder alikomaa mwanzoni lakini baada ya kuuelewa ukweli basi kakubali yaishe - atoke mahabusu na Serikali irudishe alichoiba.Huu ujinga bado unaendelezwa? Mama sasa hasomeki.
Kumbe siyo fisadi?Ujambazi wa kidola!