Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Wagongwe tu, tutafanyaje sasa!Ajali hiyo imetokea katika eneo la Kisutu majira ya saa nne usiku jana 29/3/2024, ambapo Mwendokasi kutoka Kivukoni ikielekea Ubungo iligongana bodaboda iliyokuwa inakatisha kuelekea njia ya Kisutu.
Katika ajali hiyo kumetokea vifo viwili; dereva wa bodaboda na pamoja na abiria wake.
Jifunze kuandika huko migombani hukusoma!?we si mpinzani warema namba moja .ndo ujue watu wenye mitazamo na kuona mbali athari zake
kubari we umekosolewa.umekunya unasingizia kujambaJifunze kuandika huko migombani hukusoma!?
Tenganisha maneno dogo ,Lema ndio nan? Mlevi yule ? Unataka watu wafanye kazi mnakunywa viroba huko kwenu ndio maana mnakufa daily kwa ujinga wenu.
Kubariβkubari we umekosolewa.umekunya unasingizia kujamba
Huu ni usafiri wa kipumbavu sana
Madereva wengi wa boda boda vichwa vyao viko spidi sana, labda ndio sababu ya kuiita hiyo kazi ni laana, lakini kama boda boda wangekuwa wanafuata sheria za usalama barabarani, na kuchukua tahadhari naamini wangeepuka vifo na ajali nyingi sana.
Hiyo kazi sio ya laana, laana wanaisababisha wao wenyewe kwa matendo yao bila kufikiria.
Duuh inaumiza kwa kweli.Juzi boda boda kajinyonga nyuma ya hospital baada ya kuambiwa atakatwa mguu
Boda ndio imeigonga mwendokasi!Ajali hiyo imetokea katika eneo la Kisutu majira ya saa nne usiku jana 29/3/2024, ambapo Mwendokasi kutoka Kivukoni ikielekea Ubungo iligongana bodaboda iliyokuwa inakatisha kuelekea njia ya Kisutu.
Katika ajali hiyo kumetokea vifo viwili; dereva wa bodaboda na pamoja na abiria wake.
Bangeeee na visungura..Madereva wengi wa boda boda vichwa vyao viko spidi sana, labda ndio sababu ya kuiita hiyo kazi ni laana, lakini kama boda boda wangekuwa wanafuata sheria za usalama barabarani, na kuchukua tahadhari naamini wangeepuka vifo na ajali nyingi sana.
Hiyo kazi sio ya laana, laana wanaisababisha wao wenyewe kwa matendo yao bila kufikiria.
IPO siku serikali itapata AkiliLema ππππ
Sijui tunakosea wapi!!Ajali hiyo imetokea katika eneo la Kisutu majira ya saa nne usiku jana 29/3/2024, ambapo Mwendokasi kutoka Kivukoni ikielekea Ubungo iligongana bodaboda iliyokuwa inakatisha kuelekea njia ya Kisutu.
Katika ajali hiyo kumetokea vifo viwili; dereva wa bodaboda na pamoja na abiria wake.
namna hiyo!Bodaboda ni laana.
Afisa usafirishaji na abiria wameishia hapo. Inauma sanaAjali hiyo imetokea katika eneo la Kisutu majira ya saa nne usiku jana 29/3/2024, ambapo Mwendokasi kutoka Kivukoni ikielekea Ubungo iligongana bodaboda iliyokuwa inakatisha kuelekea njia ya Kisutu.
Katika ajali hiyo kumetokea vifo viwili; dereva wa bodaboda na pamoja na abiria wake.