Kisutu: Mwendokasi na bodaboda zagongana, wawili wafariki

Maneno meeeeengi kumbe ujinga tu
 
Duuh inaumiza kwa kweli.
Inasikitisha,..ni kijana mdogo sana wa 2002...alipoambiwa kuwa huu mguu unakusumbua dawa ni kuukata,..basis kijana akaona isiwe kesi muda wa saa mbili usiku akazunguka nyuma ya wodi akiwa na magongo yke ,..akajitundika
 
Siku nyingine usiseme bodaboda sema afsabusafirishaji
 
IMEKAA VIZURI SANA,
ILI MAMBO YAKAE SAWA NI LAZIMA ANGALAU KILA SIKU TUWE TUNAZIKA BODABODA KUMI HIVI KWA KUGONGWA.
 
IMEKAA VIZURI SANA,
ILI MAMBO YAKAE SAWA NI LAZIMA ANGALAU KILA SIKU TUWE TUNAZIKA BODABODA KUMI HIVI KWA KUGONGWA.
labda kama ndugu zako wote wanamiliki magari hawatapanda bodaboda, ila jua bodaboda huwa wanabeba abiria wanaoweza kuwa shangazi zako, dada zako, kaka zako, ndugu zako au wowote wale, hata wewe mwenyewe. wengi tunamiliki magari, ila ukitembelea mkoa ambao sio kwenu, huwezi kupanda taxi muda wote, na nje ya dar hakuna bolt wala ubber. utapanda tu boda na yanaweza kukukuta hata wewe.
 
HATA KAMA UNAMILIKI GARI BILA KUFUTA TARATIBU ZA BARABARANI, TUTAKUZIKA FASTA.
KWAMBA KWA SBB WATU HAWANA MAGARI BASI RUKSA KUPANDA PIKIPIKI ZENYE KUVUNJA SHERIA?

UKIPATA NAFASI FUATILIA HII HABARI:

ASILIMIA 70 YA MAJERUHI WA AJALI ZA BARABARANI WANAOPOKELEWA MOI WANATOKANA NA AJALI ZA BODABODA​

 
kwa taarifa yako mimi sizikwi leo wala kesho, nina Yesu Kristo moyoni, yeye ndiye uzima wangu. ila wewe nakushauri rudi kwa Mungu, okoka na acha kuwaza mabaya juu ya wenzako. nakuombea kwa Mungu usife, usijekufa katika dhambi ukaenda motoni kabla hujaokoka.
 
 

Attachments

  • VID-20240401-WA0003.mp4
    1.6 MB
Bodaboda haikupaswa kuwa usafiri wa umma...

Kosa lilianza kwa kuhalalisha hili...
Wanajali basi.
Huko south Africa, Botswana, Namibia no usafiri wa bodaboda

Sisi huku tuliondoa hiace mjini kisa foleni bila kujipanga vzr cha ajabu mji umerudi nyuma kwa vibajaji na bodaboda tena zisizofata Sheria.
Mimi nashauri Bodaboda wasirihusiwe kutumia Barabara kuu. Na kuingia mjini unless ni dereva bolt au Uber registered na mwenye Kila kitu including leseni na helmet mbili.
Bodaboda na bajaji vituo vyake viwe mwisho wa daladala. Mfano pale kimara mwisho boda na bajaji ndo zipeleke watu huko mitaani.

Waache kusajili bodaboda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…