ni kitu kile kile tu kwasababu hata anapoenda kugonga boda aliyepita njia ya mwendo kasi, haimaanishi kwamba ile boda ndio inaisimamisha gari, kuna breki zipo, anafungia break baada ya kumgonga, la sivo angemburuza hadi mbali sana. na ile speed sidhani kama inazidi60 au 70kmh, la sivyo hat akwenye vituo vya mwendo kasi asingeweza kusimama. pia, kama kupinduka ni kule kule tu akigonga mara nyingi huwa anaacha hadi njia. Boda wanakosea kweli, ila sasa na mabasi ambao wapo kwenye njia ya usahihi naamini wana wajibu wao fulani hata kama wapo katika mazingira magumu.