Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
umesema vyema.kuna mtu mwingine anashindwa kuvumilia bodaboda na bajaji wasiojielewa, bila kujua mle ndani kuna mke wake au watoto wake. anawagonga kuangalia ndani kaua ndugu zake. vipi hapo? ni kweli bodaboda kakosea, ila wewe usiyekosea umetumia hekima kiasi gani?
Kwani wanasiasa wanapoagiza polisi wapige waandamanaji humo si kuna ndugu za hao wanasiasa?
Kwahiyo kama kuna ndugu yako kwenye bajajinunamuachia avunje sheria?