Kisutu: Mwendokasi na bodaboda zagongana, wawili wafariki

Kisutu: Mwendokasi na bodaboda zagongana, wawili wafariki

kuna mtu mwingine anashindwa kuvumilia bodaboda na bajaji wasiojielewa, bila kujua mle ndani kuna mke wake au watoto wake. anawagonga kuangalia ndani kaua ndugu zake. vipi hapo? ni kweli bodaboda kakosea, ila wewe usiyekosea umetumia hekima kiasi gani?
umesema vyema.
Kwani wanasiasa wanapoagiza polisi wapige waandamanaji humo si kuna ndugu za hao wanasiasa?
Kwahiyo kama kuna ndugu yako kwenye bajajinunamuachia avunje sheria?
 
mwaka 2000 ndio nilijifunza udereva shuleni, mwalimu alituambia unapoendesha gari, jua kuna mtu unaweza kuona yupo vizuri tu mbele yako, kumbe kichaa, mwingine kalewa, mwingine kavurugwa na maisha, mwingine kuna kitu kinamsumbua, hivyo badala ya yeye kuwa dereva, wewe ndio unatakiwa kuwa dereva badala yake, hivyo kwa kuendesha kwa kujihami ni kama wewe utaendesha magari mawili, la kwako na la kwake. hekima kama hiyo ikitumika, tunaweza kuokoa maisha ya wengi wanaokosea. kwasababu hata sisi wengine kwenye udereva huuhuu tulishakosea sana barabarani na kama upande wa pili wasingetuvumilia, wangeshatugonga na kupotea huko kabisa.
 
Ndio huo udereva upo mikoani si Dar.
Dar ni survival for the fittest, ukimuachiamtu akuchomekee una nafasi kubwa ya kugongwa, gari kuchubuliwa na kutukanwa na wengine wanaosubiri n nyuma yako.
 
Tatizo abiri nao huwa hawazungumzi walau kwa dakika moja na dereva boda.
Akifika,ni chap nipeleke Mwenge.
Madereva boda wengi wanakula ugoro mwingi,wanakunywa pombe aina zote bila kipimo.
Wanavuta bangi bila mpangilio..
Laiti kama ukizungumza nae walau kwa dk unaweza ukamsoma
 
We, utakua unaishi USHETU, hujui mwendokasi [DART ] ni magari gani, unafananisha na matreka ya kulimia huko kijijini.
mwendo kasi wakati inajengwa na strabarg, nilikuwepo, nimeishi hapa bongo miaka si chini ya 20. udereva wangu nilijifunzia hapahapa Dar. pia sijaishi tu hapa bongo, nimeishi pia america na ulaya ambako mwendo kasi kama hizi zipo, za magurudumu na zinazotumia reli na zinatembea humuhumu kwenye barabara moja (trams). na hakuna ajali nyingi kama hizi pamoja na hayo.
 
Well said falk, kwahiyo huko Ulaya na Marekani ulipoishi BODA -BODA ni "vyombo vya " usairishaji au ni Usafiri binafsi?
Huko Ulaya na Amerika ulipoishi, bodaboda wanavunja sheria kama hapa?

Hivi unajua siku hizi bodaboda wanapita njia ambazo ni one way wao wanarudi kinyume nyume ? Yaani mfano boda anatoka mahakamani Kisutu badala aende mbele pale NMB HQ ageuze ili aende Mnazi mmoja yeye anarudi na njia ya mnazi mmoja na ila njia ni one way?
 
Toka bajaj imeniulia mtu wangu wa karibu sanaaaaa tena kwenye zebra alikua anavuka kwa mguu.... vsababu ya kupenyapenya, Acha wafe tu for as long as sheria kavunja yeye
 
Bodaboda siku hizi wanapita njia za waenda Kwa miguu

Bodaboda wanavuka kwenye Zebra. Yani pedestrians wanapita kwenye zebra na wao wanapita.

Hawa jamaa naona serikali imewashindwa
 
Back
Top Bottom