Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato!

Wasomaji JF, please as time goes on jari9bu kum ignore Pascal!

Ikulu
Description
The White House, also known in English as the State House, is an official residence and workplace of the President of the United Republic of Tanzania. Wikipedia
Wikipedia hata Mtoto wa chekechea anaweza kuweka data ama kuedit hivyo reference yako haiwezi kuwa sahihi
 
Asante mleta uzi kwa ufafanuzi. Haya sasa wenye malalamiko kuwa hamumuoni Commander-in-chief of the armed forces ndio muelewe sasa, haijalishi he is leading from the front or behind. Anachapa kazi.

Ila kishwahili kina mapungufu kidogo kwenye baadhi ya maeneo. Mfano, Ikulu na ikulu ndogo. Kiingereza ni State House versus State Lodge.
 
 
Paskali umetoa mifano ya ikulu nyingine hapa TZ jee hizo ni mali binafsi au za uma? rais ajaye ataweza kwenda kufanyia majukumu yake Chato? Kwa maana fupi unataka kila rais ajenge international airport kijijini kwake na ikulu yake. Lakini kumbuka watangulizi wa awamu nyingine hakuna aliyefanya hivyo
 
Hoja ni Kukimbia kipindi cha kupambana tulitarajia awe mstari wa mbele vitani....ANgeenda CHATTLE Nov 2019 tusingemtafuta ila kakimbia baada ya kuona covid19 anasepa na kijiji cha DSM.
Kwani ameenda South Africa???

Acheni upuuzi huu. Hapo wenyewe wanaopiga hizi pumba hatuwaoni Bungeni wamejificha kutengeneza Adds za kuzushazusha uongo tu
 
Pale Mikocheni kwa Mwalimu ni Mali UA Serikali??? Au Mwitogo Kule Butiama nako pia??? Mbona alipatumia kuongoza nchi na mambo yakaenda Sawa? Acheni upotoshaji Mkuu wa Nchi Huko na Kazi zinaenda. Mnaomtaka mna yenu na hamtafanikiwa
 
Hivi pale kwa Mwalimu (Mikocheni/Msasani) napo palikuwa "Ikulu"?

Napita tu!
 
Ni
Nimesoma nakubaliana na wewe kuwa Rais anaweza timiza majukumu yake akiwa popote lakini jambo muhimu na la msingi ni kuwa waliosema hapa ndio ikulu ya Rais hawakua wajinga kwa kuamua hivyo walitazama vitu vingi sana,Moja security,ufanisi na mpangilio mzuri wa rekodi kwa kua nyaraka muhimu na za nchi haziwezi kaa nyumbani kwa rais hivyo ndio maana kuna ofisi ya rais,accessibility yake kwa yeye ndiye kiongozi mkuu ni lazima kwa muda mwingi wa kazi awe ofisi kuu kwa majukumu ,maana haiwezekani leo uwe Dar,kesho Dodoma,kesho kutwa Njombe inawezekana but for specific reasons kama likizo hivyo nilitegemea useme Rais yuko likizo au ziara but kukaa bila sababu ni kuongeza gharama kuendesha serikali very possible kuona gari inajazwa confidential document moja kupeleka nyumbani kwa rais kusainiwa na kurudishwa ofisini.
yote kwa yote ikulu siyo mtu ni ofisi na eneo nyeti la nchi.Nyumba ya Rais haiwi ikulu kwa uwepo wa rais this is total misconception.
 
Kwanza, mkuu hujaelewa hoja yangu. Hoja yangu ni kwamba wakati tunaendelea kupambana na huu ugonjwa wa korona serikali inabidi ije na strategic plan ya kuhakikisha uchumi nao hauteteleki sana maana uchumi ukiteteleka hali itazidi kuwa mbaya sana kwa wananchi.

Pili, primary responsibility ya serikali ni kulinda wananchi wake. Lakini serikali ilipokubushwa kufanya jitahanda za kuhakikisha tunapambana ipasavyo na hili gonjwa walipuuzia na ndiyo maana leo hii hali inazidi kuwa mbaya.

Mbali na kuhimiza maombi wana mpango gani wa kimkakati wa kupambana na hili gonjwa? Hakuna njia yoyote madhubuti ya kuhakikisha hili gonjwa halienei nchini. Kwanza ndiyo wanazidi kumwaga petrol kwenye moto(Kuhimiza mikusanyiko).
 
Perfect, kumbe tuko pamoja! Nakubaliana na hoja yako by 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…