Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiswahili fasaha kimebaki huko visiwaniKatika mchakato wa kusanifisha Lugha ya Kiswahili,Wakenya walipinga sana lahaja ya kiunguja kuwa ndo lahaja ya usanifu wa Kiswahili,nadhani kasumba hii ndo sababu wao kutumia lahaja zao hasa kilamu.
Hakuna nyingi qala kidogo.Nadra ni uchache au mara chache.
Kinyume cha nadra ni aghalabu.
Aghalabu ni mara nyingi.
Andika "ghaliban" KWA mwandishi ya kiarabuHakuna nyingi qala kidogo.
Aghalabu ni aghalabu, asiyejuwa hatojuwa hata kulitumia kwake kwenye sentensi.
Kiarabu chake ni "ghaliban".
Mimi naijuwa lugha kama lugha tu, siyo mkalimani.
Karudie kusoma.Andika hiyo ghaliban KWA mwandishi ya kiarabu
‘Kuonyesha’ siyo sahihi?Vyombo vya habari vinavyoongoza kutumia kiswahili fasaha ni ITV na Radio One.
Radio One walianzisha hadi kipindi cha Kiswahili asubuhi jumamosi, nadhani muasisi alikuwa Julius Nyaisangah (marehemu hivi sasa), akaja kukiendeleza kipindi Regina Mziwanda ambaye yupo BBC hivi sasa. Pia Regina aliendeleza hii hadi Clouds, ndio akarithi Mwihava ndio huwa unamsikia Mwihava akimuuliza muuliza maswali Oni Sigala.
Kuonyesha = kuonesha.
Kuonesha = kuona
Kuonyesha = kuonya.
Masaa = saa
Kweli, Kuonesha ndio sahihi. Kuonyesha inatokana na kuonya.‘Kuonyesha’ siyo sahihi?
mjombaako?mjombaako n wa kike au
Ni kuoNEsha.‘Kuonyesha’ siyo sahihi?
Kwa mujibu wa nini? Maana kamusi zangu zote nilizonazo zina ‘kuonyesha’.Kweli, Kuonesha ndio sahihi. Kuonyesha inatokana na kuonya.
Kwa mujibu wa nini?Ni kuoNEsha.
Hii inaitwa MNYUMBULIKO WA VITENZI.Kwa mujibu wa nini?
Una kamusi ya Kiswahili hapo ulipo?
Madam, tusaidie kwa kuandika sentensi ukitumia neno hilo 'aghalabu'. Tafadhali, i kwani wengi tunalitumia vibayaHalimaanishi kwa wingi wala kwa uchache.
Aghalabu ni aghalabu.
Lakini kamusi si huandikwa na wataalamu wa lugha?Hii inaitwa MNYUMBULIKO WA VITENZI.
Ukipitia masomo ya sarufi ya Kiswahili utaona namna ambavyo VITENZI VINANYUMBULISHWA.
...ili kujua usahihi wa Kitenzi, lazima uangalie MZIZI WAKE katika mnyumbuliko wake.
Yaani:-
On-A
On-EKANA
On-WA
Ali-ON-ekana
Ali-ON-a
ON-esha
ON-eshana .... nk
Mzizi wa KITENZI ni "ON" na sio "ONY".
Hata huko ni Majanga mfano mke = nkekiswahili fasaha kimebaki huko visiwani
mjombaako ni mwanamke au mwanumemjombaako?