Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Mfano?Ndiye inaweza kusimama yenyewe ikajitegemea ukisema ''Ndiye'' mpaka umetaja mtu kabisa moja kwa moja hakuna haja ya maneno mengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano?Ndiye inaweza kusimama yenyewe ikajitegemea ukisema ''Ndiye'' mpaka umetaja mtu kabisa moja kwa moja hakuna haja ya maneno mengine.
Hapa kiunganishi si ndio, bali ni ndiyo maana. Ndio au maana haiwezi kusimama yenyewe hapa kama kiunganishi.Ndio - ni conjuction
Nilikuwa naumwa ndio maana sikuja shule.
asante mkuu kiswahili tunakiharibu sana sisi.Hapa kiunganishi si ndio, bali ni ndiyo maana. Ndio au ndiyo haiwezi kusimama yenyewe kama kiunganishi.
NB: Ni makosa kusema ndio maana, kama ulivyotumia hapa. Ndiyo hurejelea hali, ambapo ngeli yake hushurutisha upatanishi wa kisarufi wa ndiyo.
Nilikuwa naumwa. Hali hiyo ndiyo ilisababisha sikuja shule (au: Sababu hiyo ndiyo ilifanya sikuja shule.)
Yaani ukisema ''ndiye'' umebeba maana nzima ukimlenga mtu ...Nikiwa na maana ukijibu na neno ndiye haina haja ya kuweka tena yeye ...Ukisema ''ndio/ndiyo yeye'' sawa ni sawa na neno moja tu ''Ndiye'' kimaana .Mfano?
Ndio Kama kikanushi Cha hapana ,, ndiyo Kama kionyeshiMko poa bila shaka
Kiswahili fasaha ni kipi au neno sahihi ni lipi
1. Ndiyo
Au
2. Ndio
Lipi neno sahihi
Kinyume cha hapana ni ndiyo. Lakini ndio ni kiwakilishi.Ndio Kama kikanushi Cha hapana ,, ndiyo Kama kionyeshi
Kishwahili fasaha ni "ndiwo"Mko poa bila shaka
Kiswahili fasaha ni kipi au neno sahihi ni lipi
1. Ndiyo
Au
2. Ndio
Lipi neno sahihi
Unaongea kinadharia zaidi. Lakini mambo uwanjani ni tofauti na uelewa wako.Yaani ukisema ''ndiye'' umebeba maana nzima ukimlenga mtu ...Nikiwa na maana ukijibu na neno ndiye haina haja ya kuweka tena yeye ...Ukisema ''ndio/ndiyo yeye'' sawa ni sawa na neno moja tu ''Ndiye'' kimaana .
Sishangai sana, maana hata Kenya, Kongo na Madagaska wanajivunia kuhodhi Kiswahili fasaha.Kishwahili fasaha ni "ndiwo"
Kileo?Mko poa bila shaka
Kiswahili fasaha ni kipi au neno sahihi ni lipi
1. Ndiyo
Au
2. Ndio
Lipi neno sahihi
Ndio, kweli kabisa! Katika Kiswahili sanifu, hiyo ndiyo tofauti ya "ndiyo" na "ndio."Mko poa bila shaka
Kiswahili fasaha ni kipi au neno sahihi ni lipi
1. Ndiyo
Au
2. Ndio
Lipi neno sahihi
Ungekuwa unaweka na sentensi kabisa, ungeona jinsi unavyoenda kinyume nyume.Ndio, kweli kabisa! Katika Kiswahili sanifu, hiyo ndiyo tofauti ya "ndiyo" na "ndio."
Ndio - Kukubali
Ndiyo - Kiunganishi (wakati mwingine huwa ndiye)
Ova
= NdiyoMko poa bila shaka
Kiswahili fasaha ni kipi au neno sahihi ni lipi
1. Ndiyo
Au
2. Ndio
Lipi neno sahihi
Kuna American English (AmE) na British English (BrE). Color, honor, organization na center ni AmECenter na centre, ipi ni sahihi?
Color na colour, ipi ni sahihi?
Najua ni misamiati ya lugha tofauti. Ila, kuna sehemu nataka kuelekea na hayo maelezo ya utofauti wake….
Vipi kuhusu Canadian English, Australian English, na Indian English?Kuna American English (AmE) na British English (BrE). Color, honor, organization na center ni AmE
Zinatambulika. Siku hizi hata Nigerian English - PidginVipi kuhusu Canadian English, Australian English, na Indian English?
Zenyewe hazitambuliki?
Wewe hujui. Kaa kimyaKwenye kiswahili hakuna ndio kuna ndiyo