KISWAHILI: Naomba maana ya maneno haya...

KISWAHILI: Naomba maana ya maneno haya...

Nasubiri jibu ndugu mahesabu.
'frankly speaking' kusema kweli nimetafuta kwenye kamusi ya kiswahili inayopatikana mtandaoni maneno hayo hayapo.......!
WAHESHIMIWA MLIOFANYA KAZI NZURI NA NGUMU YA KUENDELEZA KISWAHILI CHETU....NAOMBA KUCHUKUA NAFASI HII MARIDHAWA KUWAOMBA KUWEKA MAANA YA MANENO HAYA ,ILI LILE LENGO LA KUENDELEZA KISWAHILI LITIMIE.....!
NAWAKILISHA....!
 
Je hapa wakuu nipeni tafsiri!

Photocopy machine
Scanner.

ok, my attempt:

-photocopy machine = chapishi-nyambulishi/chapishi-nyambulisho

and

-scanner = tarakinishi-mwangwi/tarakinimwangwi/tarakini-akisi

unfortunately, i'm unable to give references!!
Baadae..
 
ok, my attempt:

-photocopy machine = chapishi-nyambulishi/chapishi-nyambulisho

and

-scanner = tarakinishi-mwangwi/tarakinimwangwi/tarakini-akisi

unfortunately, i'm unable to give references!!
Baadae..
Shukran mufti Steve D,tutatumia tafsiri hio kawa sasa mpaka tutakapotangaziwa baadae.
 
chapishi nyambulishi ambayo inaweza kuwa nzuri kwa matumizi ya nyumbani ni ipi?
 
nilikuwa naomba kuhamishwa kwani nikitizama haya maneno yana tofauti na nilitaka kufafanuliwa.

wana jambof.

ahsante
 
Wakuu,

niko mbioni katika kuandika kijipepa f'lani na nilikua naomba
kama kuna mtu hapo nje anayejua tafsiri ya jina la samaki waitwa
dolphins kwa kimombo.Shukran.
 
Kwa kiswahili doliphin huitwa pomboo,labda kama sijakuelewa unataka nini?
 
Papa ni shark,sasa kuna shark/papa jamii nyingi.Papa mbaya ni yule anayekwenda km 300 kwa saa,hiyo ni speed akiwa majini.Wengine ni wapole sana.

Doliphin/pomboo ni marafiki wa binadamu sana,kiasi kwamba watu wa pwani huamini kuwa ukizama baharini na pomboo akakuona atakuongoza/kukubeba mpaka nchi kavu,anyway hiyo ni imani yao.
 
Wadau nimekutana na neno hili kibubusa hapa JF naomba kupatiwa maana yake...
 
Wadau nimekutana na neno hili kibubusa hapa JF naomba kupatiwa maana yake...

Kaka Kibunago,sijui ni wapi limetumiwa hilo neno kibubusa Lakini kwa jinsi ninavyofahamu,neno hilo sio kiswahili fasihi,ni maneno mapya ya mitaani yanayoingizwa kwenye lugha.Tafsiri ya neno hilo ni kutokuwa na akili...,maneno mengine yanayoweza kutumiwa kwa maana hiyo ni Hamnazo na kichwamaji .
 
Kamanda
Nashukuru sana kwa ufahamisho wako..Aidha neno hilo nimelisoma hapa hapa JF na napenda kulinukuu kama hivi
Zitto,

Msaidie kumuelimisha mshabiki wako huyu kwani nae ni miongoni mwa "walioamini" kuwa umesema na akaanza ku spin it to ur favor.... kibubusa as usual of course

Kwa mitiririko wa mada nzima fuata link hii
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=14300&page=26
 
MAANA YA COMPUTER KWA KISWAHILI FASAHA HUITWA KING`AMUZI AU JARIBU KUANGALIA KATIKA KAMUSI YA KISWAHILI 2004 UTAONA MAANA IYO MBALI NA WALE WANAOTUMIA "TARAKIRISHI " kama unavyofahamu lugha hukua mfano matwana hapo zamani kwa sasa ni gari/motokaa
 
Wana Jamii naomba msaada wa Tafsiri ya maneno yafuatayo,Naona kiswahili kinakua haraka mno,nasi wengine tunapitwa na mwendokasi huu wa kukua kwa Lugha;
Ushoroba.

Bupa.

Turufu.

Kurambaza.

Ashki.

Nakshi.

Naomba msaada wenu, kwa maneno hayo.
 
Jamani wakuu wa mashairi,

Have the writings of Shakespear been translated into Kiswahili..hususan ile
"Romeo and Juliet"...?
Naomba kuuliza.
 
Neno kadhia limejitokeza mara nyingi hapa ukumbini.
Nilidhani linamaana sawa na udhia ila sasa nina mashaka.

Kwenye kamusi nimepata tafsiri zifuatazo:
  • Udhia - annoyance, nuisance, confusion n.k
  • Kadhia - affair, event, matter, occurrence

Una maoni gani kuhusu hili?

.
 
Back
Top Bottom