Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,658
- 6,700
NGOJA NIPEKUE KAMUSI YANGU NIJE NA JIBU...!Je hapa wakuu nipeni tafsiri!
Photocopy machine
Scanner.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NGOJA NIPEKUE KAMUSI YANGU NIJE NA JIBU...!Je hapa wakuu nipeni tafsiri!
Photocopy machine
Scanner.
Wadau wa kona hii, nini maana ya Ilhali
NGOJA NIPEKUE KAMUSI YANGU NIJE NA JIBU...!
'frankly speaking' kusema kweli nimetafuta kwenye kamusi ya kiswahili inayopatikana mtandaoni maneno hayo hayapo.......!Nasubiri jibu ndugu mahesabu.
Je hapa wakuu nipeni tafsiri!
Photocopy machine
Scanner.
Shukran mufti Steve D,tutatumia tafsiri hio kawa sasa mpaka tutakapotangaziwa baadae.ok, my attempt:
-photocopy machine = chapishi-nyambulishi/chapishi-nyambulisho
and
-scanner = tarakinishi-mwangwi/tarakinimwangwi/tarakini-akisi
unfortunately, i'm unable to give references!!
Baadae..
Mkuu hii hata mimi sikuijua. Nilidhania ndiye Papa!Kwa kiswahili doliphin huitwa pomboo,labda kama sijakuelewa unataka nini?
Wadau nimekutana na neno hili kibubusa hapa JF naomba kupatiwa maana yake...
Kaka Kibunago,sijui ni wapi limetumiwa hilo neno kibubusa Lakini kwa jinsi ninavyofahamu,neno hilo sio kiswahili fasihi,ni maneno mapya ya mitaani yanayoingizwa kwenye lugha.Tafsiri ya neno hilo ni kutokuwa na akili...,maneno mengine yanayoweza kutumiwa kwa maana hiyo ni Hamnazo na kichwamaji .
Zitto,
Msaidie kumuelimisha mshabiki wako huyu kwani nae ni miongoni mwa "walioamini" kuwa umesema na akaanza ku spin it to ur favor.... kibubusa as usual of course
Kwa kiswahili doliphin huitwa pomboo,labda kama sijakuelewa unataka nini?