Shehe, shida ya lugha ni janga kubwa,ukweli ni kwamba hii hali ni taswira na 'vivid reflection' ya El'mu yetu..Naandika kwa masikitiko, ninaposoma magazeti, maandiko mbalimbali nk kwenye mitandao, au hata kusikiliza mazungumzo ya vijana wetu wa leo nagundua kuna shida kubwa sana kwenye lugha yetu, herufi "h" imepotea kabisa, mfano ni maneno yanayohitaji" H" yanapewa "a, e, i,o,u" mfano akuna, ata kidogo, atari, iyo, apo nk nk ni mfano mdogo tu, hii inaashiria nini, kwamba walimu pia ni tatizo ?
Mm nikiona mtu anachanganya R na L namuona ni mjinga wa hali ya juu....mfano Kaburi anasema kabuli.....Msaraba/msalaba...Gari/Gali.... Askari/askali....Jaribu/Jalibu....ukichanganya hapo nakuona kiazi...Habali, balua, safali, Shelia...nakereka sana mtu anaposhindwa kutofautisha matumizi ya L na R
Namkumbuka mwalimu wangu wa Kiswahili shule ya msingi na form 1 na 2 walinipa msingi mzuri sana wa hii lugha adhimu kabisa.Naandika kwa masikitiko, ninaposoma magazeti, maandiko mbalimbali nk kwenye mitandao, au hata kusikiliza mazungumzo ya vijana wetu wa leo nagundua kuna shida kubwa sana kwenye lugha yetu, herufi "h" imepotea kabisa, mfano ni maneno yanayohitaji" H" yanapewa "a, e, i,o,u" mfano akuna, ata kidogo, atari, iyo, apo nk nk ni mfano mdogo tu, hii inaashiria nini, kwamba walimu pia ni tatizo ?
Wewe ni yale yale tu, 'kbs' ndio vitu gani.... nachukia uandishi wa aina hii hasa akiandika ME.Tena unamsikia kiongozi kbs anatamka maneno hadharani (L)aisi, Tabo(L)a, (L)amani, Ba(L)aba(L)a na mengine.
Yaani ni aibu kubwa, kiingereza hatujui na kiswahili sasa hatujui! Hata ukiangalia mabandiko ya huku utasikitika, mtu badala ya kuandika 'hata' anaandika 'ata', badala ya kuandika 'huko' anaandika 'uko'! Kwenye magazeti makini kama Mwananchi, mambo ni hayo hayo kama hiyo 'ayo ayo.Naandika kwa masikitiko, ninaposoma magazeti, maandiko mbalimbali nk kwenye mitandao, au hata kusikiliza mazungumzo ya vijana wetu wa leo nagundua kuna shida kubwa sana kwenye lugha yetu, herufi "h" imepotea kabisa, mfano ni maneno yanayohitaji" H" yanapewa "a, e, i,o,u" mfano akuna, ata kidogo, atari, iyo, apo nk nk ni mfano mdogo tu, hii inaashiria nini, kwamba walimu pia ni tatizo ?
Kwahiyo akiandika KE huchukii?Wewe ni yale yale tu, 'kbs' ndio vitu gani.... nachukia uandishi wa aina hii hasa akiandika ME.
Sijakuelewa, kwa mtazamo wewe hilo sio tatizoKwenye suala la mazungumzo hasahasa ya vijana sio shida, vijana always huwa wana lugha zao.
Hata kwenye maandishi pia lazima ujiulize je ni aina gani ya mazungumzo.Kama sio ya kiofisi sio kesi.Lugha huwa ipo tofauti kulingana na class
Hilo sio kosa la kushindwa kujua lugha, ni athari za lafudhi, kuna makabila hawana 'r' na mengine hawana 'l' kwa hiyo wanachanganya.Habali, balua, safali, Shelia...nakereka sana mtu anaposhindwa kutofautisha matumizi ya L na R
KE naweza kuvumilia.... ME kuwa KE ni tusi kubwa, Ila KE kuwa ME ni ushujaa.Kwahiyo akiandika KE huchukii?
Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo?KE naweza kuvumilia.... ME kuwa KE ni tusi kubwa, Ila KE kuwa ME ni ushujaa.
Acha kunichekesha bwana [emoji38]Tena unamsikia kiongozi kbs anatamka maneno hadharani (L)aisi, Tabo(L)a, (L)amani, Ba(L)aba(L)a na mengine.
Sawa mkuu, rejea kwenye mada ni uchafuzi wa kiswahili.... endelea kukosoa watu huku wewe ukiandika 'kbs'.Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo?
Nakushauri wakati mwingine usininukuu
Yani unamsikiliza unabaki unashangaa hivi anafanya makusudi au ni kwa bahati mbaya? Lakini kama ni kwa bahati mbaya mbona kila wakati anarudia kutamka vile vile ambavyo si sahihi!Acha kunichekesha bwana [emoji38]
Sio tatizo kabisa hayo yote ni mojawapo ya sifa za lugha.Sijakuelewa, kwa mtazamo wewe hilo sio tatizo
Kweli kabisa kiswahili sanifu ndiyo kwaheli kabisa mtu anaandika eti "kabisa" inakuwa "kabixa" sijui kunachuo au shule inayofundisha hivo sikuiziNaandika kwa masikitiko, ninaposoma magazeti, maandiko mbalimbali nk kwenye mitandao, au hata kusikiliza mazungumzo ya vijana wetu wa leo nagundua kuna shida kubwa sana kwenye lugha yetu, herufi "h" imepotea kabisa, mfano ni maneno yanayohitaji" H" yanapewa "a, e, i,o,u" mfano akuna, ata kidogo, atari, iyo, apo nk nk ni mfano mdogo tu, hii inaashiria nini, kwamba walimu pia ni tatizo ?
Kuwa msikivu ndugu.Sawa mkuu, rejea kwenye mada ni uchafuzi wa kiswahili.... endelea kukosoa watu huku wewe ukiandika 'kbs'.